Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Makenge ya loserfool eti nayo yana nguvu za kucoment humu duh, hayana aibu, yaani wewe ngonvwe 7 nnamchek aliyefungwa 3,dunia ina maajabu kudadeki
Hivi siku za usoni dio zipi? Maana muda unayoyoma tudah kweli chama letu lina hali mbaya ila ni mambo ya mpito bado nina imani na chama letu litafanya mambo makubwa siku za usoni hususani bwana magoli henry.
worm chelsea hawana chochote usajili mkubwa timu hamna,msiombe tukutane raundi ya pili emirates tutawachakaza vibaya sana,
Kwenye hii mechi na ya Leicester nimeshindwa kuelewa kwa nini Arteta anatumia 3-4-3, hii ni more defensive approach sasa unaitumiaje dhidi ya timu inayo defend zaidi na kupiga counter?!Katika game za msimu huu tulizofungwa na ikaniuma ni ya liva.
Hatukuonyesha quality kivyovyote. Laca akakosa two big chances. Hii haijaniuma koz hata hizo chances hakuna, ni kumiliki mpira tu na shots za hapa na pale.
Tukicheza na timu zinazopaki basi ndiyo unaona pengo la namba nane kwa uwazi kabisa.
Insane
Hua naenda kuangalia uchambuzi wao haswa liva wanapoamua kuongea kiingereza baada ya defeatAs if wewe huwa huendi kwenye nyuzi za wengine pindi wanapogongeshwa![]()
Sina rekodi ya wahudhuriaji nitakua muongo nikikujibu kwa uhakika.Umeandika kwa experience.
Hivi kuna watu wanawazidi washabiki wa Arsenal kuzunguka kwenye threads zisizo zao?
Liva Napoli alikutana naye wapi? Alipodrop huko akaenda wapi?Arsenal kumfunga Napoli ligi gani?
Mi naamini unaangalia games za chelsea tu. Jana tottenham kashinda goli moja uliangalia walivyokua wanapelekeshwa? Au umepata matokeo livescore?Chelsea anashinda game mfululizo na Jose Mourinho with many goals so usijipe hope
Willian ni kiazi. Two chances kazifvck up. Hamkumuacha kwakua kiazi mlimuacha coz hamkua radhi kumpa miaka 3Vip kuhusu Willian? Mzee baba tuliwaambia kuhusu Willian na Chelsea walikuwa si wajinga kumuacha huyo mchezaji
Sina rekodi ya wahudhuriaji nitakua muongo nikikujibu kwa uhakika.
Sina cha kuongea kaongee na stats za games zote mbili ya man na villa. Both halvesMlitaka kupaki bus hata na kwa aston villa?Arteta ana mbinu nzur anapopak bus shida huja akiwa nyumban anatakiwa kufunguka hapo ndipo vichapo vinatokea
Kwa hili kocha wetu hana kichaka cha kujificha,.Kwenye hii mechi na ya Leicester nimeshindwa kuelewa kwa nini Arteta anatumia 3-4-3, hii ni more defensive approach sasa unaitumiaje dhidi ya timu inayo defend zaidi na kupiga counter?!
Mbaya zaidi nilitegemea 2nd half atafanya mabadiliko ya formation lkn ameendelea hivyo hivyo over 90mins.
Najiuliza tunacheza 3-4-3 vs Villa, Leicester sasa ni timu gani tutacheza offensive game?
Unapoona unacheza 3-4-3 kisha unapossess mpira 50%+ ni dalili ya awali kuwa hiyo ni wrong formation kwenye game husika, maana yake unakaa sana na mpira kwenye midfield wakati hii formation hairuhusu hicho kitu.
Unakuwa na possession kubwa kwa kuwa unashindwa kufanya quick transition kwenda kwenye final third, tena unaendelea na hayo mapungufu wakati mpinzani anacheza 4-2-3-1 ukipona ni bahati tu au mpinzani naye awe hana kikosi kizuri.
For the first time naomba nimlaumu Arteta, game ya jana ni total tactical failure from the first minute.
Hivi Lampard alîshafukuzwa mkuu?Hahahahakwa taarabu hawajambo. Tatizo wanazunguka kwenye majukwaa mengine na kanga moja iliyolowa maji, inakuwa rahisi opponent kuivua na kumchanua mapaja kama ukurasa wa katikati gazeti mwanasport.
Liva Napoli alikutana naye wapi? Alipodrop huko akaenda wapi?
Bro nimeandika ile comment leo alfajiri nikiwa Ubungo natafuta basi la kwenda Tanga.Ninaweza kuelewa momment uliyoandika hiyo post kwa sababu ya matokeo.
Ila nachoweza kusema ni kwamba kama wewe pia huwa unatembelea threads za wengine na umekuja na sababu kama hiyo, means umeandika kwa uzoefu wako. Ila kama hutembelei threads za wengine I doubt the reasoning.
Bro nimeandika ile comment leo alfajiri nikiwa Ubungo natafuta basi la kwenda Tanga.
Haikua kwavile nimefungwa. Ila ni kwakua tangu juzi nilinotice kukosa wageni for two weeks. Nilichoandika ulikua ukumbusho.
Wewe si ni shabiki wa loserfool wewe, haya tueleze nguvu ya kuicheka arsenal kufungwa na villa umeitoa wapi! Umegongwa sabah alafu unakuja hapa nye nye nye nyeeeeeeNinaweza kuelewa momment uliyoandika hiyo post kwa sababu ya matokeo.
Ila nachoweza kusema ni kwamba kama wewe pia huwa unatembelea threads za wengine na umekuja na sababu kama hiyo, means umeandika kwa uzoefu wako. Ila kama hutembelei threads za wengine I doubt the reasoning.
Kwahiyo kwa logic hii ni kwamba;Unapofanya comparison, jaribu kufanya like for like.
Same league, a bit of same squad, same environment.
Intensity ya UEFA ni tofauti sana na Europa.
Hahaha kiukweli nimecheka mpaka watu wananishangaa.Okay, binafsi sina tatizo na hiyo comment.
Nachotaka tukubaliane ni kwamba wewe pia unapokwenda kwenye threads za timu pinzani unakwenda kupunguza stress. Hilo tu.