Msimu huu timu zote zile big 6 zinastruggle kua kwenye form ndiyo sababu unakuta City kala 5 na Liva kala 7 na baadhi ya mashabiki wanaamini Arsenal anaweza pambania ligi (kinyume na maono ya kocha)
So hakuna timu ambayo imekua kwenye smooth run so far, huyu aliyetufunga leo ametoka kupoteze games mbili mfululizo. Sisi tulipokua tunakutana na Man tulikua tumetoka kupoteza games tatu mfululizo.
Kila timu inahaha kuipata form.
Na zote zinalenga Januari ifike zizibe viraka ili maisha yasonge. Arsenal wanataka kuziba pengo la namba 8, 9 na 10. So the idea ni kwamba timu ijishikilie sasa hivi isurvive hii storm kisha January ijipange upya zaidi.
Ni disappointment kufungwa especially aliyekua juu kabisa alikua amesuluhu ila hili tulilopoteza ni pambano vita bado inaendelea. So bado tunapambania hii vita.
The idea is to win.
WeMove