king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,038
Jamani arsenal mbona mnatupa kazi ya kuwatukana jamani kila siku nyie tu? 








Nilijua una akili kumbe huna akili
Akili unazo wewe offspring ya changudoa
Hii timu inaamini wa kuscore ni Auba tu? Bellerin na wenzake wanafanya komed gani
Ni kweli lakini ilitakiwa aanze kuscore Bellerin, Elneny au Tierney. Instead wote wanakimbilia kumpelekea mipira Auba.I see goals coming
Hapana, ni galasa kweli asee2 early to make such a judgement
Arteta ni Kishingo wa Simba aliyechangamka..Uwezekano wa kuwin hii gem upo tena mkubwa ikiwa arteta atafanya mabadiliko mapema
Mlipania tu game na Man unitedAsenane tulidhani mmebadilika kumbe bado tu, paka shumi nyie