Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kocha aliacha kuwasikiliza mashabiki ndio maana matokeo yaklawa hivyo, basi maji yameshamwagika

The team selected by Arsenal fans
0_Arsenal-vs-BrightonPNG.png
 
ARSENAL VS B HOVE& ALBION

Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa

Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana

Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi

Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo
Vijana wako hawajazingatia ulichowaambia ndio mana mmepakatwa kama kawaida yenu
 
Yani huyu Luiz sijui nani alipendekeza anunuliwe? Bellerin leo ndo flop wa mechi. Pepe naye ndo hata haeleweki anaenda kuielewa ligi au kulewa ligi. Naye anatolewa ili aingizwe Willock, what a joke! Timu inacheza kukamilisha ratiba, haina ambition wala callibre ya ushindi!

Haya Unai kaondoka. Tunamrushia nani zigo la leo?
 
Ukitaka kujua Arsenal is dead wee angalia
Katika mechi tisa mfululizo Arsenal haikushinda
Watford walishinda
Norwich walishinda
Everton walishinda,
Southampton walishinda,
Westham walishinda
Aston villa walishinda na luianzia timu ya mwisho hadi ya kwanza zote zilishinda isipokuwa Arsenal yenye wachezaji wabishi mpaka mashabiki wabishi
Hii team inao wachezaji vivuli hawana madhara yoyote wanarukaruka tu uwanjani ,tukiwambia wachezaji wenu wa kawaida sana wanakasirika na kutajataja majina
 
Mazee tupo ugenini au nyumbani?siamini naona Arsenal anaelekea kushuka Daraja Pochettino ndo wakuiokoa Arsenal kwa sasa as soon as possible huyu Freddie nasema mara mia ya UNAI kuliko huyu ndo atatuzamisha kabisa kabisa Board fanyeni haraka sana sababu naona kuna hatari hadi xmass tukawa wa 16 sababu West Ham away sioni kama tutashinda then De bruyne Emirates hahahaha nacheka kama mazuri ila tusiposhinda Leo tutaenda mechi 3 tumefungwa ngoja tuone kipindi cha pili ila sina mategemeo kabisa
Poche kuajiriwa na team ya EPL haiwezekani kwa msimu huu ,atakaye hitaji huduma yake anapaswa kuilipa spurs $12.5M hakuna team itathubutu kulipa pesa hii kwa kocha
 
Ni kweli kabisa team imebadilika
ARSENAL VS B HOVE& ALBION

Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa

Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana

Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi

Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo
 
Mumefukuza abdalla mumeleta dulla
Hii timu mtafukuza kila aina ya kocha,michezaji ndio mibovu....huyu sokratic bora ya mlipili,

Berelin ni mavi
Kolasinac mikojo
Hapo timua wote abaki xhaka,leno na laca hao wasenge wengine wakatafute michezo wanayoweza
 
ARSENAL VS B HOVE& ALBION

Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa

Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana

Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi

Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo
Hata mbinu zibadilike tushawaambia wachezaji wenu hawana viwngo vya kushindana
 
Back
Top Bottom