Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ljungberg prefers to operate with a 4-2-3-1 system, a formation that certainly got the best out of Willock last season with the U23s.

The midfielder primarily operated as part of the central pairing in midfield. He was tasked with winning the ball back high up the pitch and then leading the charge with wingers like Xavier Amaechi and Saka either side bombing down either flank, with one of either Tyreece John-Jules or Eddie Nketiah up front and Emile Smith Rowe in behind.

Ljungberg wants his teams to press high up the pitch, a tactic Emery tried to implement during his time in north London - but one he failed miserably to install.

And that should suit Arsenal going forward when you look at the make-up of their squad. Nicolas Pepe will be hoping to get far more of a look-in than in recent weeks and players like Saka and Reiss Nelson will be eagerly anticipating working under the Swede once again.

“Freddie’s information is vital for me because I play in the same position as him and he’s been a big part in my progress,” said Saka after producing a man-of-the-match display against Eintracht Frankfurt in the Europa League in September.

“He gives a lot of advice to me every day but the best piece of advice he’s given me is to stay humble.

“He’s been with me since I was 15, seen me do amazing things but he always tells me to stay humble and to keep working hard because he really thinks I can be a top player.”

It’s those types of man-management skills that Arsenal hope will get more out of a squad that has clearly under-performed throughout the strict, video analysis-driven tenure of Emery.

Ljungberg’s first game in charge comes this Sunday at Norwich. Arsenal go into it on the back of seven games without a win - the club’s worst run since 1992 - so any type of victory will be well received.

How long the Swede will be in charge is not yet clear. It could be matter of weeks or it could be for the season. That is something the Gunners hierarchy will need to sort out but for now they are confident they have the man in place who can get the squad firing again
79446882_1015205612177894_8014810703988323095_n.jpeg
 
Gilberto Silva has liked several tweets stating that he is returning to Arsenal to work alongside Freddie Ljungberg. Gilberto will be live on Sky Sports tomorrow morning.
IMG_20191130_014717.jpeg
 
Arsenal fans mmepata mlichokitaka?
Different coaches, the same Arsenal?
Loading...….
 
Freddie Ljumberg.

Wengi wamefurahishwa kuchaguliwa kwa Ljumberg kuwa kocha wa muda wa arsenal. Kufurahishwa kwao kunatokana na sababu kuu tatu hiv;

1. Aliwahi kuichezea arsenal kwa mafanikio makubwa huku akiwa sehemu ya kile kikosi kilichochukua kombe bila kufungwa. Hivyo wengi wanaona Ljumberg ataleta ile hari ya ushindi iliyokuwa kwenye timu aliyocheza.

2. Good communicator and very charismatic. Moja ya changamoto kubwa aliyokuwa nayo Unai ktk klabu ya arsenal ni mawasiliano hafifu haswa kwa kuwa hakujua lugha ya kiingereza vizuri. Mara nyingi iliripotiwa kuwa wachezaji walikuwa hawaelew maelekezo wanayopewa kwasababu ya lugha gongana. Na hii ndio sababu iliyopelekea Ljumberg kupandishwa kutoka under-23 hadi kuwa kocha msaidizi. Ljumberg anasifiwa kuwa ni mcheshi pia na mtu ambaye huongea na wachezaji vizuri. Na ndio maana wengi wanaamini atasaidia kuiboresha timu.

3. Uwezo wake wa kufundisha soka zuri la kushambulia na kuongeza ubora wa wachezaji. Ljumberg alijizolewa sifa katika klabu ya arsenal kutokana na uwezo wake wa kufundisha soka zuri na kuboresha viwango vya wachezaji wakati akiwa anafundisha arsenal under-23. Huko inasemekana alifundisha soka safi la pasi za kutoka nyuma hadi kwenda kufunga huku akiboresha viwango vya wachezaji kama willock, Saka, Burton, john-jules, trae coyle, Arthur okonkwo, smith-rowe na wengineo. Katika msimu wake wa kwanza na under-23 aliiwezesha kushika nafasi ya pili. Hivyo wengi wanaona kuwa ljumberg anaweza kufanya alichofanya under-23 katika timu ya wakubwa.

Changamoto atakazokuna nazo ni;

1. Kukosa uzoefu mkubwa. Ljumberg hana uzoefu mkubwa katika nafasi ya ukocha haswa akiwa kocha mkuu. Nakumbuka nafasi ya kwanza ya ukocha kumsikia Ljumberg akiwa nayo ni pale alipokuwa anafundisha arsenal under-15, baadae akaongozana na aliyekuwa director wa academy ya arsenal Andres jonker kwenda kufundisha timu moja kule ujerumani ambako hawakudumu baada ya kutimuliwa. Baadae ndio akarudi under-23. Hii ndio changamoto kubwa kwake.

Maoni yangu ni kwamba sitarajii mambo makubwa kutoka kwa kocha huyu ila naamini kabisaa kiwango cha soka cha arsenal kitaboreka na arsenal itaanza kucheza mpira wa kuonekana
IMG_20191130_014446.jpeg
 
Maoni yangu ni kwamba sitarajii mambo makubwa kutoka kwa kocha huyu ila naamini kabisaa kiwango cha soka cha arsenal kitaboreka na arsenal itaanza kucheza mpira wa kuonekanaView attachment 1276935
Kuna mnazi huku alisema kwa ujasiri kwa 90% Pottechino atateuliwa kuwa koacha?
Don't worry majirani, hata Lampard hakuwa na uzoefu na alitokea kwenye ile kikosi kilichoipa Chelsea mafanikio makubwa na sasa tunaona anachokifanya. Mpeni muda na mumpe pia rasilimali za kutosha
 
Wazee wa Arsenal hili mnalitambua?

A brief history of Calum Chambers:

2016-17: Goes to Middlesbrough, Karanka gets sacked.
2017-18: Comes back to Arsenal, Wenger gone.
2018-19: Goes to Fulham, 2 managers get sacked.
2019-20: Comes back to Arsenal, Emery gets sacked.
 
ORNSTEIN | Mauricio Pochetino ndiye chaguo la kwanza la Arsenal kama mrithi wa Unai, kinacho subiriwa ni jibu lake tu.

Changamoto za kumpata Pochetino ni 2 ambazo ni ndogo sana na zina tatulika yaki tengenezwa mazingira mazuri:

1. Alisha weka wazi kwamba hatokuja kuwa kocha wa Arsenal kutokana na uhasimu wetu na Spurs.

2. Malipo ya £12m ya Kipengele cha kuvunja mkataba na spurs endapo asipo ajiriwa tena ndani ya miezi 6.

#coyg
 
#AFC | Sky Sports have an exclusive interview with Freddie on the way, it will be available to watch today from 10am UK time.

10mins left
IMG_20191130_014715.jpeg
 
Back
Top Bottom