Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
We si umepokea kipigo jana....unataka nn humuSwali lilikua jepesi. Wewe unaanza ku complicate
We si umepokea kipigo jana....unataka nn humuSwali lilikua jepesi. Wewe unaanza ku complicate
Hii ndio type ya tutoto twa haka kakijiwe. Kuwa makini mimi baba yako bwana mdogoWe si umefirw* Jana....unataka nn humu
Hii ndio type ya tutoto twa haka kakijiwe. Kuwa makini mimi baba yako bwana mdogo
Nikupe pole wewe. Mi nishazoea hayo. Mtaani nakutana nayo na sehemu zote nazojichanganya. Try to be creative kwa kuja na mapyaPole sana bro....usimaanishe sasa
Hahahaahahahahahaahahah.Sasa kocha ana siku tatu, wewe umeshaleta umbea wako huku, nyie wanawake wa uswahilini mnatukera sasa.
Pole yako wewe uliyesulubiwa jana chumbani kwako kabisa...Nikupe pole wewe. Mi nishazoea hayo. Mtaani nakutana nayo na sehemu zote nazojichanganya. Try to be creative kwa kuja na mapya
Sawa mama nifundishe kujibu hilo swali sasa, naona umejifunga kibwebwe kabisa![]()
Najua amepigwa mkubwa mmoja tu wikiendi hii yule wa Jana tu..Na mtapigwa mpaka mkone
Ni muangalizi wa timu kwa muda kwani ulikua unasemaje?hivi huyu caretaker wa arsenal ni mrithi wa Unai au ni Mbadala wake???
Kwani tumefungwa mkuu?Na mtapigwa mpaka mkone