Wafiwa msijali hili zoezi la maturubai nitalifanya mwenyewe...kamati ya chakula ollachuga na king ngwaba watahusika,kamati ya vinywaji ndugu penison usituangushe....
Huku lembu utakuwa na kazi ya kumfuta machozi dullyjr na Aaron Arsenane


Kama jana Auba alikasirika kweli, jamaa sijui ni kimeo yupi, wakati Auba yuko kwenye kona zake za kufunga jamaa bila pressure akabutua mpira goal kick. Msimu ujao hao jamaa watasepa na Pepe atarudi Ligue one huko ndiko size yakeDuh poleni majirani. Ndio naona matokeo hapa. Kweli hii Arsenal imeparalize karibia inakata roho.
Tuliwaambia Unai ataondoka mtaanza kunyooshea wachezaji vidole. Wachezaji wenu wame expire.
Nawaona Auba na Laca wakiondoka kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.
Pona yenu ni kumchukua pochetino asuke timu upya wachezaji wapya wenye vision mpya. Tena wakati anaisuka timu mashabiki mfunge mabakuli yenu.
Mbali na hapo mtamaliza makocha wote duniani arsenal itabaki ile ile KICHWA CHA MWENDAWAZIMU


David Luiz na Sokratis ukiwatazama sana inakuja picha ya JOHAN DJOROU.
ila huyu alikuwa anajitahidi sio hawa Luis na sokratisPole sana Aaron, we're still doomed. Msimu huu tukimaliza top ten tushukuru sana.ARSENAL VS B HOVE& ALBION
Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa
Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana
Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi
Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo
Mlikuwa mnapiga kelele oooh sijui Torreira anapangwa out of position oooh sijui Ozil hachezi na kelele nyingi mbona mambo ni yaleyale sasa pamoja na UNAI kuwaachia kikundi chenu.
Timu imejaa DEAD PLAYER tupu