Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi kama nitakuwa tofauti nawengine nimechek game Jana at least mpira umechezwa hata kuposses tumeposses licha ya makosa yaliyotugharimu ila ukiangalia game ya Jana toka dk ya kwanza game ilikuwa kwetu, kingine kocha alichelewa kufanya sub genduzi na Willock badala ya Saka angeingia Pepe tungewini yote kwa yote siyo mbaya tuangalie mech ijayo dhidi ya Brighton, Japo bado sijajua kwanini Tirney na Bell9 hawakucheza tumpe muda tuone naye anakuja na mfumo gani, ukisema hatuna wachezaji naona sio sawa Wenger aliwatumia baadhi ya hao hao ninachokiona ni ari za wachezaji na kujituma vitaipandisha timu mpaka top four, kwa mtazamo wangu tukiimarika top four tunaigusa tu bila shida
 
Huna jipya,hakuna anayemshambulia Freddie kwa muda huu,
Wewe ndie huna jipya na husomagi maamndiko ya wenzako
Wako wengi tu wameanza kumshambulia nimeweka sample hapa na mashabiki tano hivi wa Arsenal wamelike
Tafuteni Coach, huyu atawashusha daraja.. Sioni kipya kilichoongezeka zaidi ya wachezaji kucheza kwa morali kwakua ni coach mpya.. But kwa mbinu ni vile vile tu.

Unamuachaje Willock mpk dk ya 70, anaingiaje Saka wakati nje una 70mil paund iko kwenye Bench?
 
Wewe ndie huna jipya na husomagi maamndiko ya wenzako
Wako wengi tu wameanza kumshambulia nimeweka sample hapa na mashabiki tano hivi wa Arsenal wamelike
Hahaha huyo uliyemquote kama sample yako una uhakika ni shabiki wa Arsenal?umesoma vizuri alichoandika au hujui kutafsiri?????
 
Naangalia hizi tuzo hapa naamini leno angekuwa anacheza champions league angekuwa nominee kwenye hizi za Yachine Trophy na hata Aubameyang asingekuwa wa 20 sasa tuanze kujiandaa kisaikolojia kuna siku Aubameyang Lacazette leno watatukimbia kama watafocus kwenye Champions league
 
Hahaha huyo uliyemquote kama sample yako una uhakika ni shabiki wa Arsenal?umesoma vizuri alichoandika au hujui kutafsiri?????
Nakiri hiyo nilichemka ila muda tu hakuna kuna wengi humu wameshaanza kumkosoa kocha
 
Nakiri hiyo nilichemka ila muda tu hakuna kuna wengi humu wameshaanza kumkosoa kocha
Naona sasa umeanza kukua,safi sana kwa kukubali kuwa umekurupuka na ni kawaida yako kukurupuka....


Ukweli ni kwamba ukiona mtu anamkosoa Freddie kwa mechi ya jana huyo ni mtu wa kubeti anaendeshwa na mihemko ya hasira au sio shabiki mwelewa,
Jamaa kakabidhiwa timu iliyovurugwa kwa miezi 18 unategemea ndani ya siku mbili awe amemaliza matatizo yote na Invicible irudi tena!!!hahaha tuwe waungwana jamani hilo ni jambo gumu linalohitaji uvumilivu kidogo ,hasa kwa mtu kama Freddie
 
MG
79122857_224549231868908_4254682268827639651_n.jpeg
 
Happy 50th Birthday Gooners #Jayz

Shawn Corey Carter, known professionally as Jay-Z, is an American rapper, songwriter, producer, entrepreneur, and record executive. He is regarded as one of the greatest rappers of all time.
Born: December 4, 1969 (age 50 years), Brooklyn, New York, United States
Net worth: US $1 billion (2019)
Spouse: Beyoncé (m. 2008)
Children: Blue Ivy Carter, Rumi Carter, Sir Carter
FB_IMG_1575475295671.jpeg
FB_IMG_1575475292464.jpeg
 
Happy 50th Birthday Gooners #Jayz

Shawn Corey Carter, known professionally as Jay-Z, is an American rapper, songwriter, producer, entrepreneur, and record executive. He is regarded as one of the greatest rappers of all time.
Born: December 4, 1969 (age 50 years), Brooklyn, New York, United States
Net worth: US $1 billion (2019)
Spouse: Beyoncé (m. 2008)
Children: Blue Ivy Carter, Rumi Carter, Sir CarterView attachment 1281759View attachment 1281760
Jigga atakuwa ameacha kuja Emirates sababu ya stress!!
 
ARSENAL VS B HOVE& ALBION

Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa

Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana

Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi

Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo
 
Back
Top Bottom