Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo
Screenshot_20191205-221604.jpeg
Screenshot_20191205-221915.jpeg
 
Bora angemuweka Reise Nielson kuliko huyo willock! Ingawa mechi tutashinda ili bado hakuna kocha hapa
Sijui waalimu wanaona kitu gani spesho kutoka kwa willock, mi hua naona bora Martineli tujaribu kumzoesha kucheza pembeni ana pace na yuko very tricky amechangamka muda wote.
 
Tayari mshapigwa na mnakimbizwa, madogo wangekua makini wangeongoza goli tatu mpaka sasa...
 
Mazee tupo ugenini au nyumbani?siamini naona Arsenal anaelekea kushuka Daraja Pochettino ndo wakuiokoa Arsenal kwa sasa as soon as possible huyu Freddie nasema mara mia ya UNAI kuliko huyu ndo atatuzamisha kabisa kabisa Board fanyeni haraka sana sababu naona kuna hatari hadi xmass tukawa wa 16 sababu West Ham away sioni kama tutashinda then De bruyne Emirates hahahaha nacheka kama mazuri ila tusiposhinda Leo tutaenda mechi 3 tumefungwa ngoja tuone kipindi cha pili ila sina mategemeo kabisa
 
Back
Top Bottom