Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu mtafukuza kila aina ya kocha,michezaji ndio mibovu....huyu sokratic bora ya mlipili,

Berelin ni mavi
Kolasinac mikojo
Hapo timua wote abaki xhaka,leno na laca hao wasenge wengine wakatafute michezo wanayoweza
 
Mlikuwa mnapiga kelele oooh sijui Torreira anapangwa out of position oooh sijui Ozil hachezi na kelele nyingi mbona mambo ni yaleyale sasa pamoja na UNAI kuwaachia kikundi chenu.
We maandazi hebu tutolee huo ujinga wako humu tunataka kupumzika
 
ARSENAL VS B HOVE& ALBION

Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa

Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana

Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi

Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo

Hawajazingatia ushauri wako mkuu.
 
Different Coaches, same Arsenal with the same results
Arsenal ni ile ile, Brighton waliwazidi kila kitu
Na mnapopoteza mechi kama hizi mnategemea kushinda zipi?
 
Back
Top Bottom