Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Different Coaches, same Arsenal with the same results
Arsenal ni ile ile, Brighton waliwazidi kila kitu
Na mnapopoteza mechi kama hizi mnategemea kushinda zipi?
Kumbaka cheltako hapo darajani uvunguni
 
Wakati mashabiki wa Chelsea wanafurahia kumuuza mzigo DAVID LUIZ nyie mlikuwa mnashangilia Dead player,Vipi kuhusu PEPE mlikuwa mnakenua meno 32 nje leo kawa mzigo
nani kakuambia mimi ni mfuasi wa arsenal?

usiseme "mlikuwa" sema "walikuwa"
 
Arsenal bado haijaajili kocha it means til now hakuna replacement ya kocha why uje na statement ya kishoga iliyojaa hamu ya namna hiyo,stamala wajada
Mashoga ni hao wanaoliwa kila siku
 
Nyau nyie

Mlivyokuwa mnapiga kelele za kocha atimuliwe tulifikiri akiondoka mtashinda...fisimaji nyie
 
BREAKING NEWS!
Jopo la waandishi wa habari za michezo wanapanga kukaa na kupiga kura ya kuiondoa rasmi Arsenal kwenye top 6. Mkutano huo pia unatarajia kuipigia kura timu ya Leicester city ili iingizwe rasmi kwenye orodha ya top 6 kwenye timu zinashiriki ligi kuu nchini Uingereza
 
DAVID LUIZ + SOKRATIS hii combination ikiendelea kucheza mpaka January basi RELEGATE itawahusu.
 
Ukitaka kujua Arsenal is dead wee angalia
Katika mechi tisa mfululizo Arsenal haikushinda
Watford walishinda
Norwich walishinda
Everton walishinda,
Southampton walishinda,
Westham walishinda
Aston villa walishinda na luianzia timu ya mwisho hadi ya kwanza zote zilishinda isipokuwa Arsenal yenye wachezaji wabishi mpaka mashabiki wabishi
 
Back
Top Bottom