Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
wenger ana akili saana.
Ile timu ni ya baadae, yaani kwa sasa anaisuka ndo maana mambo yako vile...
Teh teh wakubwa tuliona nbali na kugundua kuwa huyu Mzee Wenger ni sawa na huyu Mkwere.
Ahadi nyiiiiingi then mwisho wa Siku anaanza upya kuahidi....puumbav
..ha ha ha, yaani na machungu yote imenibidi tu nicheke. Acheni tu...najuta wallah! msiniulize najutia nini.
Arsenal, Together we Stand.
Vipigo kama hivi nawakumbukia waliojitolea mhanga kwa ajili ya Arsenal.
RIP Suleiman Omondi, ---Mungu akupe makaazi mema, wallahi tena.