Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa jamaa naona kocha wao kawaambia watumie approcah ya counter attack leo . wamebanda sana nyuma.
 
Wenger afanye changes mapema sana kama anataka kushinda.Nasri aje naona mbele hakuna mtu wa kuweza kuhold mpira kabisa.
 
Wenger afanye changes mapema sana kama anataka kushinda.Nasri aje naona mbele hakuna mtu wa kuweza kuhold mpira kabisa.

Lakini ni kazi sana kucheza na na timu inayocheza isifungwe badla ya kucheza kushinda. Hawa jamaa ni kama watakuwa confortable na draw. As long as hatufungwi mi naona poa .
 
Kumbe point moja leo inatuhakikishia kuwa kwenye last 16. regarless ya matokeo mengine. Ndio maana Wenger kamuweka Benadeta.
 
Wenger bana dude linaboa kinoma fanya mabadiriko sasa hivi wapinzani wetu wakina eduardo wanaongoza 2 tayari.
 
mshapita, mnacheza kukamilisha ratiba na nadhai approach ya Wenger ni "kuavoid majeruhi"
 
mshapita, mnacheza kukamilisha ratiba na nadhai approach ya Wenger ni "kuavoid majeruhi"

ni muhimu sana kumaliza wa kwanza kundi letu timu zina tisha uko mbele na timu yetu hii safari ndefu sana.

wakina eduardo wana nafasi kubwa ya kumaliza wa kwanza kama hatutashinda mechi hii.
 
ni muhimu sana kumaliza wa kwanza kundi letu timu zina tisha uko mbele na timu yetu hii safari ndefu sana.

wakina eduardo wana nafasi kubwa ya kumaliza wa kwanza kama hatutashinda mechi hii.
Nilikuwa sijui hapa kumbe mmetie nao point, na jamaa wanaongoza sasa hivi.
 
nakupita bado hatujapita braga pia wana nafasi. braga wana point 7 wao wa tatu wakati sie na kina eduardo tuna point 10.
 
Back
Top Bottom