Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kawaida, Kona, free-kick, krosi zinatusumbua sana, huyu Flappy-anski kwa mashuti ya direct ataokoa mpaka kesha ila mambo ya krosi na kona hawezi kabisa.
 
Dakika ambazo magoli yamefungwa ni.......................dak 52......................C. Clark............................Dak 56.......................M. Chamakh...................Dak 71..............C. Clark............................................NInaona hapa sare inanukia.....................
 
beki yetu ishachanganyikiwa kazi hipo arsenal ya mwaka huu.

TImu nyingi hivi sasa zimejiimarisha kwa hiyo siyo kosa la Arsenal............................
 
Ndio tunasema Wenger Tactics haelewi, ameenda kumtoa Nasri na sio Chamakh? Rosicky kiungo ameenda kuongeza beki Gibbs, ni kutaka kulinda goli? ilitakiwa tuongeze mashambulizi.
 
wilshereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee point 3 hizo kutoka viwanja vyetu vipya vya nyumbani baada emirates kuwa uwanja wa away siku hizi.
 
Wapenzi wa Arsenal inabidi mfungue bima ya heart attack..bwe he he he..nways hongereni kwa kupasha joto kiti kwa sekunde chache
 
Back
Top Bottom