Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watani poleni, naona siku hizi hapo emirates pamekuwa sehemu ya kuja kuchukulia point. Ngoja kwanza niwaangaie vijana wangu maana sie msimu huu ni ado ado tu.
Siku pamekuwa uwanja wa ugenini
 
Wenger ashindwa kuelewa kipigo!

Meneja Arsène Wenger amesema kuwa hawezi kuelewa kushindwa dhidi ya wapinzani wa jadi Tottenham Hotspur.

Licha ya kuongoza 2-0 katika nusu ya kwanza, kwa hisani ya Samir Nasri na Marouane Chamakh, kule kurudi kipindi cha pili kwa kasi ya kushtua kutoka kwa Spurs, ambapo walifunga mabao matatu, ilimaanisha kwamba Arsenal imeshindwa tena kuvuna faida kwenye msimamo wa ligi.

Wenger alisema: "Hatukuweza kudumisha umakini wala kuonyesha kasi kwa muda wa dakika 90 kwa sababu baadhi ya wachezaji walikata tamaa"

"Naamini pia kwamba kwa jumla tulicheza kwa kiwango kinachohitajika "kwa ubora" katika mechi kama hii,na kama utaangalia stats na mahesabu ni vigumu kufahamu kwa nini tumeipoteza hii mechi"

"Kupoteza Concentration, baadhi ya makosa ya msingi na bahati mbaya pia, kwa vile kwa kuanzia tu nadhani ile adhabu kabla ya penalti haikuwa sahihi"

"Na juu ya hayo, si tu kwamba sisi ndio tulishinda adhabu lakini badala yake ndio tulipatikana na hatia na kupigiwa penalti"

"Lakini kwa ujumla unapigwa na butwaa kidogo, ukianza kuuchambua tena mchezo, ni kitendawili vipi tumepoteza mchezo kama huo?"

"[Tuliidhibiti hii mechi] hata kipindi cha pili pia - Ilikuwa adhabu tushinde upande wetu -lakini matokeo yake goli kwao. Si Unajua?"

"Walitubamba na counter-attack tukiwa tunaongoza 2-0. Na baada ya kuadhibiwa kwa goli la pili Kama ukiangalia nafasi za wazi walizopata Tottenham leo, ni rahisi kutambua jinsi vile tumefungwa yale mabao matatu"

"Ni moja ya zile mechi ambazo tuna-dominate mwisho wa siku sisi ndio tunapoteza, wa kujiangalia ni sisi wenyewe"

"Naamini kwamba tulijiandaa na hii mechi na Kama tungeanza na hii mechi vibaya nisingeshindwa kusema"

"Nahisi baadhi ya wachezaji ambao walicheza katikati ya wiki - Jumapili, Jumatano na leo - hawakuweza kumudu kasi ya mchezo na tuliishiwa nguvu na kulikuwa na baadhi ya miguu mizito katika nusu ya pili"

"Nilifikiri kipindi cha pili (Spurs) walikuwa wazi zaidi na tulimudu kupata nafasi ya kucheza zaidi na kutengeneza nafasi, lakini nahisi kwa mfano Chamakh alipata nafasi safi lakini badala yake alirudi nyuma kwa sababu miguu yake ilikuwa michovu"

"(Chamakh) alicheza dakika 70 au 80 Jumatano usiku. Bila shaka,baada ya kurudi wanakuja wamekufa kabisa, pamoja na hayo bado kipindi cha pili tulikuwa na fursa ya kuua huu mchezo"

Manager Arsène Wenger has said that he can't comprehend today's defeat against local rivals Tottenham Hotspur.

Despite leading 2-0 in the first half, courtesy of goals from Samir Nasri and Marouane Chamakh, a shocking comeback from Spurs, scoring three goals, meant that Arsenal have again failed to capitalise on their league position.

Wenger said: "We could not maintain the focus nor the urgency for 90 minutes because some players dropped.

"I believe as well that overall we delivered a performance expected in a game like that quality wise and if you look at the stats and the numbers it's very difficult to understand how we lost this game.

"A drop of concentration, some basic errors, some bad luck as well because the penalty spot I think was no foul for them at the start.

"And on top of that, not only did we get the foul but we get the penalty where we are guilty of.

"But overall you are a bit speechless. To re-analyze the game, it's a mystery how we can lose a game like that.

"[We were in control] in the second as well. It was a free kick for us – goal for them. You know?

"We were caught on counterattack at 2-0 up. And after we were punished on the second goal. If you look at the clear-cut chances that Tottenham had today, it's easy to see how we conceded three goals.

"It's one of those games where we dominated them more than any other one but we lost it and we can only look at ourselves.

"I believe that we have focused on the game. If we had not started the game well I would say that.

"I felt some players who played mid-week – who played Sunday, Wednesday, today – could not maintain the pace in the game and that we dropped physically and we had some heavy legs in the second half.

"I felt that they were more open in the second half and we had more room to play and to create chances, but I felt for example that Chamakh in the second half was clean through and came back because he had no legs.

"He played 70 or 80 minutes on Wednesday night. Of course after they come back and they are dead. But we had the opportunities, even in the second half to kill this game off."
Source: Arsenal Mania - News - Wenger can't understand defeat
 
ARSENAL NEWS

Wenger: Arsenal must mature

Arsene Wenger knows Arsenal will finish the season empty handed if they continue to falter when it matters most.

wengerwoe20101120_275x155.jpg
PA Photos
Arsene Wenger looks inconsolable as Arsenal throw away their 2-0 lead

Wenger's team looked set to go top of the Premier League after leading 2-0 at half-time against archrivals Tottenham at the Emirates Stadium on Saturday.
Arsenal were stunned by a second-half comeback from Spurs, who produced a remarkable 3-2 win to record their first away win over their neighbours since 1993.
There was some consolation for the Gunners in the shape of Chelsea's 1-0 defeat away to Birmingham City, but the Frenchman knows his young team need to mature fast if they are to claim major honours.
"It is painful, but more because we had an opportunity to go top of the league that we did not take, and a mature team, you want them to do it,'' said Wenger. "That is what hurts the most, because that is what is needed if you want to be successful and win trophies. We delivered quite a good game and created many chances.
"What is much more difficult to understand is that we lack some basic concentration on facts in the game where you can be punished. When you want to win, that cannot happen."
The 61-year-old was disappointed his team could not convert more of the chances they fashioned and he conceded their home form has become a problem.
"When you look at the run of the game, what we created and what Tottenham created, you are a bit speechless we lost," he said.
"But we lost our focus, were punished on that and made some basic mistakes. At 2-0 up, it looked too easy and we eased a bit off. We certainly have a problem to sort out at home. It is a shame because overall we had quite a good game, one of the best we have played recently and were not rewarded."

Arsene Wenger calls for Arsenal team to show maturity - Barclays Premier League - ESPN Soccernet
 
Akili za AW ni kama za washabiki na wachezaji wake, wakishinda game tatu tu mfululizo utawasikia wakiongelea treble, wakipoteza mbili tu, wa kwanza kukata tamaa, Jifunzeni from SAF.
 
Akili za AW ni kama za washabiki na wachezaji wake, wakishinda game tatu tu mfululizo utawasikia wakiongelea treble, wakipoteza mbili tu, wa kwanza kukata tamaa, Jifunzeni from SAF.
Hawana winning mentality hata wakiwa wako kwenye form nzuri kama sasa. Jana walipoteza concentration walipokuwa wanaongoza 2-0, labda ni mchecheto wa kufikiri wangeongoza ligi maana hawajazoea kukaa juu ya msimamo wa ligi...lol
 
Mkuu Wenger tangu amekuja hii ni mara ya kwanza kufungwa na Hotspurs nyumbani sasa sijui unaongea nini kama sio viroja? Ni sawa na Spurs kusema sasa watachukua EPL wakati hata hawajakaribia kileleni. Bado Arsenal ni ngoma kubwa.

Cesc baada ya kutoka kwenye majeruhi bado hajarudi kwenye kiwango chake, na Chamakh leo sijui miguu ilikuwa na ganzi pale mbele kama mara mbili hivi alishindwa kufanya movement. Tumebakiza kama point 11 za kuchezea, defence leo waliona mechi rahisi baada ya magoli mawili. Another bad day in the office after 17 years.
Kwa hali ilivyo mpaka sasa, hata Liverpool inaweza kuwa bingwa!!!
 
Akili za AW ni kama za washabiki na wachezaji wake, wakishinda game tatu tu mfululizo utawasikia wakiongelea treble, wakipoteza mbili tu, wa kwanza kukata tamaa, Jifunzeni from SAF.

wachezaji wetu wakuokota hovyo hovyo ndio wana tu-cost ,hawana mapenzi na timu hata sijui kama wanajua historia ya timu wapo wapo tu uwanjani wako relaxed mda wote wawe wamefungwa wawe wanaongoza wao wapo wapo tu matokeo yake ndio haya.Sidhani kama wanajua maana ya derby au home ground.

sio rahisi kuchukua ubingwa na kikosi cha haina hii .
 
Mkuu yaani we acha tu, akina Arshavin wao wamecheza pay check imeingia hawajali nini kimeendelea, hawajui kabisa athari gani wametuachia locally, ni kwamba hatuna amani kabisa, kuanzia makazini, vijiweni kwenye local fm tumekuwa tukisumbuliwa sana na kejeli, Yids wamesahau miaka 17 yote, inauma zaidi kwamba yaani sio kwamba walitufunga kwa kutuzidi ki-football ila wachezaji wetu mboga kabisa!!! Ian Wright, David Rocastle, O' Leary, Alan Smith, Adams etc wangehakikisha kama tunafungwa basi tunafungwa kiume.
 
Leo sitaweza kuicheki hii mechi nitasubiri matokeo tu manake sina imani tena na hawa madogo. tunahitaji droo vinginevyo tukipigwa bao halafu jamaa walioko nyuma yetu wakashinda uwezekano wa kutonusa kumi na sita ni mkubwa. Wadau, nawatakia utazamaji mwema!
 
AW na Kweli
Ur team miss game leader (Gallas type), kwa yosso waliojazana Emirata ni vema kuwa na Seaman/Viera/Henry au hata Gallas type. Bila hivyo wale watoto itawachukua misimu mitano kujua nn maana ya uzalendo wa klabu.

BTW; Am watching closely ur game hapa na awa sijui warussi?
 
mkuu mbona unakata tamaa mapema ndio mpira huo kuna kushindwa na kushinda lol.
 
AW na Kweli
Ur team miss game leader (Gallas type), kwa yosso waliojazana Emirata ni vema kuwa na Seaman/Viera/Henry au hata Gallas type. Bila hivyo wale watoto itawachukua misimu mitano kujua nn maana ya uzalendo wa klabu.

BTW; Am watching closely ur game hapa na awa sijui warussi?

muhimu sana kuwa na mkongwe kwenye ambaye anaweza leadership na kuweza kuwafokea watoto au kuwapa moyo lakini ukiwaachia shughuli watoto watupu matokeo yake ndio haya.
 
Mkuu yaani we acha tu, akina Arshavin wao wamecheza pay check imeingia hawajali nini kimeendelea, hawajui kabisa athari gani wametuachia locally, ni kwamba hatuna amani kabisa, kuanzia makazini, vijiweni kwenye local fm tumekuwa tukisumbuliwa sana na kejeli, Yids wamesahau miaka 17 yote, inauma zaidi kwamba yaani sio kwamba walitufunga kwa kutuzidi ki-football ila wachezaji wetu mboga kabisa!!! Ian Wright, David Rocastle, O' Leary, Alan Smith, Adams etc wangehakikisha kama tunafungwa basi tunafungwa kiume.
Mkuu hii issue ya kufungwa na Spuds naona imewauma Gunners wengi maana nina wasela wangu wawili ni wapenzi wa Arsenal wanalalamika tu utadhani wamekosa ubingwa.
 
Back
Top Bottom