Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Half time 2-0 bila tunaongoza ,najua wengi mnakumbuka kilichotokea mechi na spurs lakini mkumbuke tulicheza "away a.k.a emirates" leo tuko nyumbani "villa park" lol.
 
Half time 2-0 bila tunaongoza ,najua wengi mnakumbuka kilichotokea mechi na spurs lakini mkumbuke tulicheza "away a.k.a emirates" leo tuko nyumbani "villa park" lol.
Mkuu naona mmetangulia..ngoja tuone second half mtakapoanza kupoteana..
 
Hali si mbaya ila hawa madogo kwa mechi mbili zilizotangulia hii, siwezi kushangilia hadi filimbi ya mwisho. But as a matter of fact, we are doing fine!
 
Dakika ambazo magoli ya Arsenal yamefungwa ni.............................Dak..........39........................R. Arshavin.....................Dak 45............S. Nasri.......................SOURCE.............MATCH TRACKER FROM THE MIRROR
 
duuh hili goli wamepewa japo kuwa carew ame mblock fabianski yuko peke yake.powa tu hamna noma tutajaribu kuchukua point tatu hapa.

na mwanzo cross ilipigwa wakati carew yupo pale golini peke yake na hakuwa ruled offside.
 
Kitu tayari 2-1

1 - 3 mkuu:teeth: ila bado sijawa na confidence, kawaida yetu tunapoongoza tunabadilisha gea na ku-slow down? Inabidi Clichy ajitahidi kuzuia krosi za A. Young, naona huku ndio kunatokea hatari zote.
 
Adabayo ana miguu mirefu mno, mara nyingi anakosa magoli ya wazimkwa sababu ana shindwa kukadiria urefu wa miguu yake anapigia ugoko! Ha hah hah hah!
 
Game mnazopoteza zinajulikana ,nyingi mnazocheza EMIRATES
 
Adabayo ana miguu mirefu mno, mara nyingi anakosa magoli ya wazimkwa sababu ana shindwa kukadiria urefu wa miguu yake anapigia ugoko! Ha hah hah hah!
????? Mbona unachanganya madawa mkuu?
 
Back
Top Bottom