Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Vipi kuhusu baada ya mechi 10 Chelsea kuwa kwenye relegation? Au unaongeza siku?Hivo hivo , hata man u walitupigia kelele na James
Unaiona style of play?
Vipi kuhusu baada ya mechi 10 Chelsea kuwa kwenye relegation? Au unaongeza siku?Hivo hivo , hata man u walitupigia kelele na James
Endelea kuwanga
Sasa hivi wala sina mzuka wa kuangalia tena games zetu. Nikiona akina Willock, Xhaka naendelea na mambo mengine.nimesoma sehem aise, Ian wright kamwaga nyongo live aise kasema bora emery asepe tu
Wazee kwa pepe tulishikishwa ukuta wanaasenali wenzanguTungeweza kushinda zaidi. Pepe ni upuuzi kwa sasa.







View attachment 1226821angalia litimu lako la chelse liko nafasi ya Ngapi?




Mara ya mwisho mlipokutana na Sheffield PL mligongwa cha nguruwe. Nategemea itakua ivyo leo.
Goodluck Sheffield United![]()
Punguza nyege basi mkuu,mbona unafujo hivyo au huamini kama mmeshinda, hizo ni tabia za vitimu vidogo.Vice versa sasa hivi litimu lako ndo lipo hiyo nafac ya tano![]()
Punguza nyege basi mkuu,mbona unafujo hivyo au huamini kama mmeshinda, hizo ni tabia za vitimu vidogo.
Wazee kwa pepe tulishikishwa ukuta wanaasenali wenzangu![]()
Punguza nyege basi mkuu,mbona unafujo hivyo au huamini kama mmeshinda, hizo ni tabia za vitimu vidogo.
Hadi Rob Holding mkuu?All English players in arsenal team are rubbishes
Hizo takataka zitacheza wapi???Tumewauzia Peter Cech, Luiz tuendeleze biashara ni wakati wetu kumnunua AUBA
Machaguo ni yenu:-
BAKAYOKO
BARKELY
DRINKING WATER
ZAPPACOSTA
BATSHUAYI
GIROUD
PEDRO

Crystal Palace
Emirates Stadium
Saa 19:30 EAT
Martin Atkinson
EPL 10/38.

Wakati wa mazoezi tunaonyeshwa akina Holding, Lt11, Tierney wakati wa mechi unawaona akina Willock.