Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
OZIL AMEAHIDI KUBAKI ARSENAL HADI 2021 MAANA EMERY HAWEZI KUFIKA HUKO KABLA HAJAFUKUZWA
Taarifa kutoka Jarida la Bleacher linasema Pamoja na Emery kutompa nafasi Ozil hataomba kuondoka Arsenal au kufosi aondoke , Japo Klabu za Marekani zinamuhitaji.
BADO IMANI YANGU INANIAMBIA EMERY ATAONDOKA YEYE NA KUMUACHA OZIL , KWA MWENENDO WA TIMU EMERY HAFIKI POPOTE , HIVO NILISHASEMA KATIKA POST ZANGU HUKO NYUMA ......EMERY ATAMUACHA OZIL KAMA ALIVYOMKUTA
For more
Mesut Ozil 'willing to stay until Arsenal sack Emery'
Mesut Ozil has been frozen out of the Arsenal team, but is reportedly unwilling to hand in a transfer request.
Bleacher Report state that the German star’s advisors are attempting to steer him towards an MLS move in January, with LA Galaxy a possible destination should Zlatan Ibrahimovic leave the club in the New Year.
But Ozil enjoys playing for Arsenal and is said to be reluctant to submit a transfer request.
The midfielder is said to be willing to stay at Arsenal until the club sack Unai Emery, with pressure building on the manager and Ozil’s contract running until 2021.

Arsenal Training Centre
️