Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Nelson brought down by goalkeeper, that was a pen
Europa-league anapanga kikosi kizuri subiri Epl arudi na Captain wake Xhaka.Halafu unai alivyofala anafikiri kapewa kazi kwa ajili ya europa anakomaa epl hovyo
Sijui mnaompemnda AMN uwa mnapenda nini alichonacho ambacho mm sikioni
Kocha wetu kwa sasa ndiyo shida wachezaji tunao wazuri.Europa-league anapanga kikosi kizuri subiri Epl arudi na Captain wake Xhaka.
Hahahaaaaaa..Yaani unaongoza goli 4 bado unamuingiza Aub?! Akiumia?! Kumuelewa Unai utajipa kazi.




Mbona pepe hajacheza vibaya kwa dakika hizo, na sijaona alichokosea ,Tungeweza kushinda zaidi. Pepe ni upuuzi kwa sasa.
Huyo mbrazil ameaga kwao ,Huyu Tierney beki tumepata.
Martinell forward tunae.