Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
The Standard say Reiss Nelson will be out of action until next month with his knee injury. #Arsenal
Wanae Unai anawapenda,kama ikiwezekana asirudi kabisa.Mechi ya Watford huyo dogo alinikera.The Standard say Reiss Nelson will be out of action until next month with his knee injury. #Arsenal
www.chelsea-news.co
Inabid na kale ka Willock kaumie hadi mei ,Wanae Unai anawapenda,kama ikiwezekana asirudi kabisa.Mechi ya Watford huyo dogo alinikera.
Hahahaha sasa apo arsenal ukimtoa Auba mchezaji gani anaeza pata namba kwenye kikosi cha Chelsea? Hahahaha embu acha vituko mkuu...Sasa kwani na wewe umekatazwa kusema kepa ni bora kuliko LENO mikono mia?
Mbona unalialia?kulia sio suluhisho la tatizo linalokukabili.....pole mkuu na mimi nakazia kuwa HAPO CHELSEA UKIMTOA NGOLO KANTE HAKUNA ANAYEWEZA KUPATA NAMBA ARSENAL KUANZIA KIPA MPAKA MSHAMBULIAJI
FACT
Kuna ubishi mwingi kati ya wachezaji wa Chelsea na Arsenal ni wapi wachezaji bora?
Nitawaletea takwimu kwa kila nafasi alafu tutaona wenyewe ni nani bora katika kila nafasi.
Acha utoto wa ki-Arsenal. Ligi haitamalizika hivyo. Bado kuna about 30 matches to be played. Mechi zilizochezwa hazijafikia hata robo. Ubishani wa namna hii waachie wajinga, ili ubeizi kwenye kujenga tangible argumentsView attachment 1226821angalia litimu lako la chelse liko nafasi ya Ngapi?
Usitujazie ujinga humu, nenda kule jukwaa lenuMarcos Alonso vs Sead Kolasinac katika ligi kuu Uingereza(EPL)
Alonso amecheza mechi 5; 3 akianza, 2 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 347.
Kolasinac amecheza mechi 5; 4 akianza, 1 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 469 yaani dk 122 zaidi ya dk alizocheza Alonso EPL.
Alonso ana assists 2;
Kolasinac ana assists 1;
Shots per game:
Alonso 0.6
Kolasinac 0.2
Pass success percentage per game:
Alonso 82.3%
Kolasinac 86.8%
Aerials won per game:
Alonso 3.2
Kolasinac 0.8
Tackles per game:
Alonso 2
Kolasinac 1.5
Interceptions per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7
Clearance per game:
Alonso 2.2
Kolasinac 1.5
Key passes per game:
Alonso 1.4
Kolasinac 0.8
Passes per game:
Alonso 43
Kolasinac 36.5
Dribles per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.5
Crosses per game:
Alonso 1
Kolasinac 0.3
Long balls per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7
Hapo wadau takwimu zinajieleza yupi bora kati ya Kolasinac na Alonso. Next ni Luiz vs Tomori
Usitujazie ujinga humu, nenda kule jukwaa lenu