Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal mtalalamika kila msimu kwa sababu hamna wachezaji wa kufanya kazi. Mentality ya kitoto. No wonder mashabiki hamuoni wachezaji hawa wakiwaletea makombe. Kocha kaja anataka wachezaji wajitume kwenye mazoezi, alafu tuchezaji twenu tunaanza kulia lia. Sasa kweli hapo mtajenga timu?
Usipende kuongea kitu bila ushahid , mchezaji gan hajitumi kwenye mazoez ? Una ushahid?
 
@Aroon Arsenal ukiwa na Ozil na Ceballos at the middle labda DM uanze na LT11 lakini kama DM utaanza na Xhaka ujuwe kabisa tutacheza mpira mwingi ili lazima tufe goli si chini ya 5 tukikutana na watu makini.
 
Ozil ni ishu ya bodi tusimlaumu Unai, Hawa wakina Raul na Vinai watakuwa wanabana ili asipate zile bonuses.

Wewe jiulize ishu ndogo tu, mchezaji anavuta £350k per week ndani ya Arsenal (bora ingekuwa Madrid au MUN hapo sawa), ...sasa uongozi unawezaje kukaa kimya ikiwa hata bench hayupo game ya 7 hii mfululizo.
Raul alikana , Jana Emery kasema wanahusika wote na bodi

Ozil kasema bado yupo sana hadi 2021
 
NAITAKIA USHIND ARSENAL

KOCHA BADO NI JIPU , Bado Anawachezesha out of their natural position
XHAKA NA CEBALLOS NA GUNDOUZ.


NAMBA SITA TORREIRA NI YAKE


NAMBA 8 NI CEBALLOS


ALAF 10 NI OZIL


HAKUNA NAMBA 6 YENYE NGUVU HICHO KIKOSI
AMEWEKA HIVO KUWAPOTEZA TU
ILA SIO SAWA, MAANA LEO ALIAMBIWA AKIFUNGWA ATAJADILIWA KUTIMULIWA...



NAMBA 10 na 6 LAZIMA ZIPWAYE

CEBALLOS NI MZURI NAMBA 8
 
Ian Wright

I'm very disappointed to see that Özil not in the squad because when you look at Arsenal's creative stats, they're not up there,

They're actually not creating as much... So that says to me you need somebody who's creative to be playing there.

Mesut Özil is that guy, ARSENAL on Twitter
 
Leo calum chambers kuna uwezekano wakupata lawama kubwa sambamba na wale wazee wa kati😂😂😂😂

Hii ndio arsenal ambayo kuna wakati ni afadhali ya jana.

NB:Tujiandae kwa lolote...
 
Okay guys - here is my ideal line-up today.

Laca
Auba Pepe
Ozil

Torreira Guendouzi

Tierney Holding Sokratis Bellerin

Leno
IMG_20191027_191010.jpeg
 
Photos: The Arsenal squad wearing their new 424 on FAIRFAX suits, after their announcement with the brand earlier this month. [@Arsenal] #afc
IMG_20191027_191315.jpeg
IMG_20191027_191312.jpeg
IMG_20191027_191307.jpeg
IMG_20191027_191010.jpeg
 
Rollin' out the red carpet for royalty

Always a pleasure to have you back home with us, @ThierryHenry

#ARSCRY
IMG_20191027_190956.jpeg
 
Josh Kroenke is at the Emirates today. Stan Kroenke is at Wembley to see the LA Rams.
 
Back
Top Bottom