Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu zinazokabiliana na leicester city tofaut na zinapokabiliana na arsenal timu ndogo inapocheza na arsenal au timu yoyote ya top 6 umakini huwa wa hali ya juu sana ikiwa pamoja na kupak basi Rogers akija arsenal mtamkataa moja pressure ni kubwa tofaut na alipo kule timu hiz zinahitaj makocha wenye cv kubwa mchezo aliocheza leicester city au sutton hawez kucheza na timu yoyote ya top 6 lazima wanawaza kuziba njia
Me naomba nitofautiane kidogo na wewe, angalia mpira wanaocheza Leicester then fananisha na huu tunaocheza Arsenal yetu ya Unai.

Kama unadhani Brendan Rodgers hatoweza ku deliver akiwa Arsenal basi wote Unai Emery na Rodgers ni average Coaches, kwa mbinu za kiuchezaji Emery amezidiwa na Brendan Rodgers mbali sana. Na kuhusu hili utakuja kuona Leicester atakavyo tufunga tutakapokutana epl
 
Brendan Rodgers alishakua Liverpool.

Maisha ya Liverpool yakawaje?

Mbona Ranieri aliyechukua kombe na hiyo Leicester mwenye rekodi tamu kumzidi Rodgers haongelewi popote?

Brendan Rodgers akiwa Liver nini kilimshinda kuifunga Soton goli tisa? Kama unakumbuka huo msimu ambao kila Big 4 ilikaa Soton ilikua na wachezaji wakali ambao zaidi ya 5 wakanunuliwa na klabu nyingine na balaa lao likaanza hapo.

So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.

Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?

Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.

Mkuu uko sahihi, mwenendo wa timu yetu sio mzuri ndiyo maana wengine tunachukia na kudhani labda Jose Mourinho au Brendan Rodgers anaweza kuwa mwarobaini wa Arsenal.

Kusema kweli haya matokeo tunayopata yanauma sana, we unavyodhani kwa selection ya timu inavyofanywa na kocha wetu Kuna siku tunaingia top 4 achilia mbali kushinda angalau goli 5+ Kama alivyofanya Leicester hapo jana?
 
Kiukweli Arsenal ina chances chache za kushinda gemu za ligi. Hata gemu tulizoshinda zilikua ni kwa mbinde, juhudi binafsi na ushindi mwembamba.

So kumpiga mtu tano plus kwa kikosi anachokipanga EPL ni ndoto.

Kuna kikosi hucheza Carabao au Europa. Achana na Europa cha juzi chenye Willock na Saka na Niles. Kikosi kimetoka kushinda magoli safi mpira safi nikaamini nusu ya wale watacheza na Man U. Akaenda kupanga utumbo wake tukaongozwa kisha tukasuluhu.

So Emery ni shit inapokuja ishu ya ligi.
Mkuu uko sahihi, mwenendo wa timu yetu sio mzuri ndiyo maana wengine tunachukia na kudhani labda Jose Mourinho au Brendan Rodgers anaweza kuwa mwarobaini wa Arsenal.

Kusema kweli haya matokeo tunayopata yanauma sana, we unavyodhani kwa selection ya timu inavyofanywa na kocha wetu Kuna siku tunaingia top 4 achilia mbali kushinda angalau goli 5+ Kama alivyofanya Leicester hapo jana?
 
Brendan Rodgers alishakua Liverpool.

Maisha ya Liverpool yakawaje?

Mbona Ranieri aliyechukua kombe na hiyo Leicester mwenye rekodi tamu kumzidi Rodgers haongelewi popote?

Brendan Rodgers akiwa Liver nini kilimshinda kuifunga Soton goli tisa? Kama unakumbuka huo msimu ambao kila Big 4 ilikaa Soton ilikua na wachezaji wakali ambao zaidi ya 5 wakanunuliwa na klabu nyingine na balaa lao likaanza hapo.

So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.

Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?

Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.
Mkuu acha kumfananisha Rodgers na Emery huko ni kumdharirisha Rodgers.....Unai hamna kitu mule,kufundisha timu kubwa sio kigezo inaweza kuwa kismati tu,

Di mateo alifundisha Chelsea na akawapa UCL yupo wapi now????

Mwalimu bora hapimwi hivyo ,huyu Unai kafundisha PSG yenye wachezaji bora kabisa amekifanya nini???

Yaani ni sawasawa mwalimu unakabidhiwa darasa lenye watoto wenye akili sana alafu matokeo hovyo...

Angalia timu anazopitia Brandan na soka linalochezwa na timu hizo....

Kocha lazima uwe na mbinu za ufundishaji zitakazopelekea kutambulisha aina ya soka ambalo timu yako inacheza katika kupata matokeo.....

Tumeona Guadiola,Brendan,Klopp,Santo,Silva na hata huyu Frank wa juzi tu wote wana aina yao ya soka ambalo linatambulisha klabu zao na ndio wanatumia hizo kupata matokeo....

Sasa huyu bwege yeye akilala anafikiria kumweka bench Ozil na Lucas hawazi mbinu za ushindi.....cha kushangaza hao anaowaamini katika fxi yake anawachezesha dk45 tu then anawatoa si awaache wamalize mechi ale wiki ili akili imkae sawa...UKIMUONA KOCHA ANAFANYA SUB DK 45 YA MCHEZO HUYO SIO KOCHA NI KANJANJA

Unahitaji uwe na kipaji kikubwa cha ubishi kumtetea huyu mla pilipili
 
Maandishi yangu yote hayakumaanisha kwamba Emery ni mkali ila yamemaanisha kumtema Emery kwa ajili ya Rodgers ni kujipa presha nyingine.

Mashabiki wa Leicester they don't expect much. Tofauti na Arsenal, akija atakutana na presha ya matarajio ya mashabiki, itamharibu badala ya kummotivate.

Ingawa kivingine kwa msimu huu mpaka leo, Rodgers ni better kuliko Emery kwenye ligi. We had a chance kujisiliba kwenye nafasi ya tatu Emery blew it, Leicester wamekua presented with a same chance wameichukua kibabe.

True makombe siyo kipimo cha ubora. Ila PSG ya Emery ndiyo ile ilibakwa kwa ushirikiano na marefa huko UEFA.

Emery aende ila Rodgers asije pia.
 
If possible tungempa kazi hata kocha wa Leicester city huyu Brendan Rodgers, naona yuko vizuri kuliko Unai Emery wetu. Naona Leicester anazidi kuiboresha kila siku, huyu atatufaa sana Arsenal.
Rodgers alishaongelewa kumrithi mzee Wenger tangu AW hajastaafu, lakini sijui kilitokea nini Gazidis akatuletea ujinga huu tulionao sasa hivi..
 
Emery hawezi kufikia hata uwezo wa Eddie Howe wa Bournemouth, Pia Rodgers is far better than Emery wote tunajua hilo, kitendo cha leicester kuwa hapo walipo ni wazi kwa uwezo wa kocha,Kwani after Ranieri kufukuzwa wamepita wengi km kina Puel ,shakespear lakini hawakuachieve kama Rodgers anachofanya.Inaonekana kabisa Leicester hawabahatishi ila ni uwezo, Kacheza Big game 4 (3 away ), sisi tumecheza tatu na bado anatuzidi point.

Huyu Rogders si alimiss-out pointi mbili kuwa champion pale liverpool 2013/2014, sasa tunasemaje hawezi kudeliver kwenye Timu kubwa??

kukosa hizo pointi mbili kuwa Champion wa league itakuwa ni achievement kubwa sana kutokea kwa Emery hapo Arsenal,

Emery kuwa bingwa wa EPL....Ebu ngoja nicheke kwanza .
 
Brendan Rodgers alishakua Liverpool.

Maisha ya Liverpool yakawaje?

Mbona Ranieri aliyechukua kombe na hiyo Leicester mwenye rekodi tamu kumzidi Rodgers haongelewi popote?

Brendan Rodgers akiwa Liver nini kilimshinda kuifunga Soton goli tisa? Kama unakumbuka huo msimu ambao kila Big 4 ilikaa Soton ilikua na wachezaji wakali ambao zaidi ya 5 wakanunuliwa na klabu nyingine na balaa lao likaanza hapo.

So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.

Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?

Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.
Diego hana tofauti kubwa sana na Mourinho kitactic
 
Arsenal are currently monitoring Umtiti, Upamecano, Kimpembe, Kamara and Ake.

They will move for a centre back again in January, but there’s no guarantee they will get any of their top targets. Defence is the number one priority between now and the start of next season. #AFC
 
Emery hawezi kufikia hata uwezo wa Eddie Howe wa Bournemouth, Pia Rodgers is far better than Emery wote tunajua hilo, kitendo cha leicester kuwa hapo walipo ni wazi kwa uwezo wa kocha,Kwani after Ranieri kufukuzwa wamepita wengi km kina Puel ,shakespear lakini hawakuachieve kama Rodgers anachofanya.Inaonekana kabisa Leicester hawabahatishi ila ni uwezo, Kacheza Big game 4 (3 away ), sisi tumecheza tatu na bado anatuzidi point.

Huyu Rogders si alimiss-out pointi mbili kuwa champion pale liverpool 2013/2014, sasa tunasemaje hawezi kudeliver kwenye Timu kubwa??

kukosa hizo pointi mbili kuwa Champion wa league itakuwa ni achievement kubwa sana kutokea kwa Emery hapo Arsenal,

Emery kuwa bingwa wa EPL....Ebu ngoja nicheke kwanza .
Kuna watu nimeamini hawamjui vzr emery

Hebu mfatilien kuanzia Valencia,Moscow ,sevilla , PSG ndio mtajua ni kocha wa aina gan

Hata alikopita wote wanasema huyo jamaa ni kilaza sana
 
TATHIMINI YANGU JUU YA KIKOSI CHA ARSENAL JE KINAWEZA KUTUPA CHOCHOTE

Kama nilivyo wahi kusema uko kabla football ni malengo na malengo yanapatikana kulingana na mikakati sehemu ya mikakati ni kuwa na kikosi sahihi kukupa icho unahitaji je vipi kwa arsenal

Arsenal kikosi tunacho kwa sasa sio kikosi dhaifu tu na ndio maana malengo yakawekwa atleast top 4 kama minimum requirements

Kuhusu ubingwa hakuna big team haihitaji ubingwa kama first priority haipo je arsenal ni team ndogo?

Sidhani kama kuna ukweli ok kikosi chetu ukiangalia uwezo wa mtu mmoja mmoja tunakikosi kizuri kufikia malengo yetu hii wala hahihitaji telescope

Kinacho tucost ni kucheza defensive minded na kukosa buld up nzuri ya mashambulizi yetu juzi europa adi dakika 70 uko tumepiga on target 1 tu kwa hali hii unaweza elewa nazungumza nini

Ndio maana tunaaminishwa willock tayari ni matured kuliko ceballos, ozil etc ambao ni playmakers completed package

Shida sio willock shida ni mifumo na falsafa za mkufunzi binafsi sina shida na kikosi chetu shida ni namna gani mikakati ya kukitumia ilivyo

Sio kila mwanafunzi anaye fail darasani alinyimwa resources za kumfanya afauru ila ni kushindwa kuzitumia

Once gunner forever gunner
IMG_20191023_211302.jpeg
 
Kwa style ya upangaji wake wa kikosi,Liverpool atatupiga kipigo cha mbwa.
 
Hahaha Madrid walifunzwa kukaba enzi zake. Inter ndiyo wakachukua kombe na ukabaji juu, haitakua tofauti akija Arsenal. Man U yenyewe ilikaba mpaka basi.
Sion tatizo, maana bado atakujengea timu ya ushindani,
 
IAN WRIGHT : BORA AONDOKE EMERY SIO OZIL

Arsenal legend Ian Wright claims he wants Mesut Ozil to be at the Gunners longer than head coach Unai Emery.

Ozil has fallen completely out of favour at Arsenal this season.

The former Germany World Cup winner has made just two appearances in all competitions so far this term.

Ozil has not been injured but has still been left out of the last five match day squads.

However, Wright has made it clear whose side he is on when asked who he thinks will be at the club longer between Ozil and Emery.

“Well hopefully Ozil,” Ozil said on The Kelly and Wrighty Show.

“He’s already said he doesn’t want to leave. For me, hopefully it’s Ozil.”

Both Ozil and Emery have a contract at Arsenal until the summer of 2021.

kicks to beat Portuguese side Vitoria Guimaraes 3-2 in the Europa League at the Emirates on Thursday.

And Wright insists Mesut Ozil is the type of player the Gunners need in their side at the moment.

“I’m very disappointed to see that [Ozil not in the squad] because I don’t think that Arsenal, when you look at Arsenal’s creative stats, they’re not up there,” he added.
“So that says to me you need somebody who’s creative to be playing there.

“Mesut Ozil is that guy, I don’t know what’s going on with him and Unai Emery, but for me I think this could be the problem for Unai in the end if Arsenal continue to do what they’re doing.

“They’re waiting for [Pierre-Emerick] Aubameyang or Pepe, like the other day, to save them. The fact is he should be playing.”
 
ARSENAL KUMUAJIRI LUIS ENRIQUE IWAPO EMERY ATAFUKUZWA

Taarifa kutoka London football website ya James Benge mwandishi wa habari hasa za Arsenal na klabu za London anasema Chaguo la kwanza ni Enrique , pia wapo Max Alegri , Brendan Roger

More New read here

Arsenal may consider hiring former Barcelona and Spain manager Luis Enrique as their new boss, if Unai Emery is sacked, Football.London reports.

But, it’s not clear whether Enrique would be interested in returning to football after the tragic death of his nine-year-old daughter in August.

Max Allegri is also likely to be considered by the Gunners hierarchy, after boasting an impressive managerial record.

Meanwhile, Brendan Rodgers could also be in contention, given his preferred style of football and Arsenal’s history of quick passing.
 
Back
Top Bottom