|| Reports suggest Arsenal are interested in Joe Gomez.
Una uhakika mzee?Emery’s 100% getting sacked if we lose today
Inahitajika mech 3 tu atimuliwe ,upo tayari kuvumilia , ?Una uhakika mzee?
Bahati nzuri Mimi ntacheki Liverpool vs spurs Arsenal yangu haitabiriki sitaki preshaWakati wa mazoezi tunaonyeshwa akina Holding, Lt11, Tierney wakati wa mechi unawaona akina Willock.
Leo ni kuangalia Line up tu, ukiona Xhaka, Willock, Saka ni kuendelea na mambo mengine tu.
Mkuu Ozil hata Sub!!!KIKOS CHA LEO KINACHOANZA
Tierney starts for #AFC - Pepe, Aubameyang & Lacazette all in as well.
Not quite the squad rotation from last season.
James Benge (@jamesbenge) Tweeted:
Arsenal XI: Leno; Chambers, Sokratis, Luiz, Tierney; Guendouzi, Xhaka, Ceballos; Pepe, Lacazette, Aubameyang
Subs: Martinez, Bellerin, Holding, Kolasinac, Torreira, Martinelli, Saka


.
Kwa uwezo wake kajitahid japo mm naona bado , ili kule mbele panoge , 8 acheze ceballos ,10 Ozil, LB bellerin maana chamber ni mzuri zaid CB , Leo Zaha atamsumbua sana chamber , kwahiyo kwa upumbavu anaopangaga daily, Leo kajitahid sanaKolasinac ndio basi tena, labda dogo KT apate injury, Bellerin naye game ya juzi alicheza vizuri sana, Chambers anabidi awe makini vinginevyo anarudi kukalia mbao soon.
Kichomi kingine ni kwa D.Luiz na Sokratis wanabidi wacheze wakijua Rob Holding yupo nje hapo, yoyote ataejichaganya tu mbao inamuita.
Huyu hawamtaki wanamsingizia hajitumiMkuu Ozil hata Sub!!!
Ozil ni ishu ya bodi tusimlaumu Unai, Hawa wakina Raul na Vinai watakuwa wanabana ili asipate zile bonuses.Mkuu Ozil hata Sub!!!
Emery’s 100% getting sacked if we lose today
Kwa nini wasimuuze!!? Kuliko wanachomfanyia!.Ozil ni ishu ya bodi tusimlaumu Unai, Hawa wakina Raul na Vinai watakuwa wanabana ili asipate zile bonuses.
Wewe jiulize ishu ndogo tu, mchezaji anavuta £350k per week ndani ya Arsenal (bora ingekuwa Madrid au MUN hapo sawa), ...sasa uongozi unawezaje kukaa kimya ikiwa hata bench hayupo game ya 7 hii mfululizo.
wakina nani hawamtaki arsenal board au Emery?!Huyu hawamtaki wanamsingizia hajitumi
mimi nashanga!!Kwa nini wasimuuze!!? Kuliko wanachomfanyia!.