Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Edu amebaki na MASHABIKI baada ya mechi

Huyu ndiye mwenye maamuzi ya kupeleka mapendekezo ya Unai kutimuliwa


MASHABIKI wametoa ya moyoni

Edu amekuwa mleta umoja NDANI ya klabu


NILISHASEMA NA NASEMA TENA SIKU ZA UNAI ZINAHESABIKA


MRITHI WA MUDA AMESHAANDALIWA NI FREDDIE LJUMBERG
Screenshot_2019-10-22-01-21-10.jpeg
 
Ornstein: If Emery gets sacked Ljungberg's ready to take temporary charge

"Freddie is highly-rated by the players and staff, and the logical feeling is he would take temporary charge if anything happened with Emery,"
IMG_20191022_012733.jpeg
 
Naskia Ozil kamwambia Unai kuwa Arsenal ni nyumbani na siondoki mpaka at least 2021 iishe
Screenshot_20191021_235823_com.instaero.android.jpeg
 
arsenane timu ya kipuuzi mno..... naona mmelala na viatu hata kuamka mmegoma kabisa. wehu sana emery na litimu lake ka kubet...
 
Upo sport lady ulipotelea wapi


Sikusema hutaifunga timu UCL ,nilisema jiangalien mnaweza shika mkia ,kwan uongo, shukuru umemkuta lille kashachoka

Kwenye ligi pambana soon unapelekwa nafas 10-15

Pole jamaaa. Naona umekazwa kamoja jana.

Unasemaje kuhusu kukazwa kamoja na Shelfield united?
 
Hii ndiyo Arsenal ninayoijua mimi. Mnaanza kwa kelele ila kuja kufika Krismasi inakuwa vilio. Labda cha ajabu ni kwamba vilio vimeanza hata October haijaisha

Yule mtaalamu wa kuropoka naona kashajipiga Ban
 
Kwa Mujibu wa bwana mmoja mshabiki wa Arsenali alisema eti baada ya mechi kumi Chelsea akiwa top four atakuwa bingwa ,naona sasa anapata aibu kweli kweli ,tisikitike kidogo naomba nimuite alipo mzee baba Aaroon ....
 
Back
Top Bottom