Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilichojifunza kwa UNAI EMERY
Hana plan B
Hana uwezo wa ku usma mchezo huku ukiendelea.
Unai hana idea yoyote ya kuibadilisha Arsenal kwa ufupi ni mbahatishaji tu.
Mechi zote anazocheza hana Game plan.
Arsenal ina Good player lakini wana Useless Manager.
 
hilo ni garasha lililotukuka, ndio madhara hayo ya kununua wachezaji wa mafungu mafungu, hao ni wachezaji wenye hadhi ya kucheza bonanza.
By the way malizieni kulipa kiasi kilochobaki 😃😃😃
Huyo tumepigwa 80 mkuu
 
Back
Top Bottom