Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

€79 million (£72 million), ...

bado mna ipa mda..ata rashford wetu awezi fanya uu ujinga
IMG-20191022-WA0007.jpeg
 
*Willock, saka, Nelson, martineli*
Hawa ni makinda ambao kwanza wanahitaji kucheza carabao cup, FA, na Europa. Wapate experience ya kutosha na wajenge stamina. Ata kwenye ligi wawe wanatokea sub kuanzia dakika za 70 hivi hasa husu martineli na saka
Huwa napenda sana kuwaangalia wakicheza huko. Ila unapowaweka hao watoto wakapambane na baba zao EPL ni ujinga kiwango cha mwisho kabisa

Na hii itasababisha fans wawachukie hawa watoto bure.

Barcelona kuna Ansu fati, huyu dogo yupo vizuri sana lakin anasugua bench

Man city yupo foden, ni mzuri kuliko hawa young players wetu lakin anasugua bench.

*Unai sio kocha, tumepigwa hapa*
 
JANA KIMEFANYIKA KIKAO , UNAI KAITWA MBELE YA EDU NA RAUL BAADA YA MECHI

source : JAMES BENGE (Arsenal correspondant)

NILISEMA HUMU NA NARUDIA TENA ,

EMERY ATATANGULIA KUONDOKA KABLA YA OZIL
IMG_20191022_085713_359.jpeg
 
KIPINDI CHA NYUMA NILISEMAGA IPO SIKU TUTAONGEA LUGHA MOJA NIKATUKANWA SANA, CHA AJABU MPAKA WALE WALIOKUA WANAMKINGIA KIFUA NAO PIA WANAUNGA HOJA KWAMBA HAMNA KOCHA MULE.

Kweli maisha bila ya unafiki hayaendi.
IMG_20191011_102748.jpeg
 
Kwa Mujibu wa bwana mmoja mshabiki wa Arsenali alisema eti baada ya mechi kumi Chelsea akiwa top four atakuwa bingwa ,naona sasa anapata aibu kweli kweli ,tisikitike kidogo naomba nimuite alipo mzee baba Aaroon ....

Akikujibu unitaq mkuu
 
*Sheffield United vs Arsenal*
Score: 1 - 2
Min: 144

Goal!!
Samir Nasir
Arsenal

Goooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaal

Samir Nasri make it 2 what a goal!!!!!🤪🤪🤪🤪
 
Happy 70th birthday to one of the Premier League's greatest managers: Arsène Wenger.

The only manager to go a whole Premier League season unbeaten.
IMG_20191022_093137.jpeg
 


Tatizo Patel anataka kumuiga Lampard kuchezesha vijana wadogo, wakati madogo wa Arsenal hawana uwezo mkubwa.

Kwa kikosi cha Arsenal OZIL ilikuwa lazima achezeshwe kulingana na uzoefu na kipaji chake kikubwa. Uwepo wake haukwepeki kwa sasa.

Ujio wa PEPE kocha asingemuanzisha moja kwa moja angemuweka kwanza bench PEPE apate muda wa kuisoma epl jinsi ilivyo, angeanza kama sub baadae ndio angeingia 1st Eleven.

Lakini kitendo cha kuingia moja kwa moja 1st eleven kwenye ligi ngeni na ngumu imepata presha na anashindwa kucopy haraka kulingana na kila timu pinzani anayokutana nayo inauchezaji tofauti na ngeni kwake.

EMERY aache ujinga OZIL 1st eleven, pepe benchi apewe muda wa kuisoma ligi
Mkuu Patel yule akili yake imejaa ugoro na tambuu yani haeleweki nini anachotaka.....
 
€79 million (£72 million), ...

bado mna ipa mda..ata rashford wetu awezi fanya uu ujingaView attachment 1240691
Unamzungumzia Rashford yupi? Wa Manchester United? Aliyeshinda tuzo ya goli la mwezi september? Tena goli la penati? Kwakua timu nzima hakuna aliyescore huo mwezi?

Au Rashford aliyekosa magoli matano ya yeye na kipa siku Man Eno inacheza na Astana? Au wewe unamsema yupi?
 
PEPE:- Helloo Agent habari za Asubuhi naomba kukuuliza ilikuwaje ukaniuza Arsenal? Umeniletea aibu kweli, umenileta ligi ngumu kipaji changu kimekuwa kidogo.

Naonekana kichekesho, mapepe, kitenesi nakosa magoli ya wazi, napiga shuti la mtoto, mpaka sasa na goal 1 tena la penati.

Agent niambie nikitaka kutoroka Arsenal adhabu gani nitapewa?
Agent: Utapewa adhabu ya kuuzwa Chelsea.
 
Back
Top Bottom