Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nakuomba kwa Heshm ya mzee Wenger mtake radhi sna.. Unai ni M2 hata kikosi tu hajui kupanga Yan anajikuta tactical genius anakuja letea Wa2 upuuz.. Wenger na madhaifu yake na Wa2 kumtukana lkn ulikua unaona team Ina clear identity na angalau wanacheza UefaNaiona picha ya Wenger tu,sioni jipya sana
Daah kuna Wa2 mnajua kutafuta wenzenu ugomv
