joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,384
- 41,491
Mpira mbovu hata pasi 5 tunashindwa kufikisha.
Hahahah mtu wako wa nguvuBila kumsahau Matteo Guendouzi
Hahahahahahahahah Mzee wa msimamo wa ligi
Kale ka droo ulikokapata jana naona kamekupa jeuri sasa una tembea kila jukwaa tu.Kwani kuna nini humu,
Leo zigo la lawama sijui atapewa Unai au jezi za njano