Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
I have never seen a dopey coach like this foolish Spanish so called arsenal manager, how can he leaves Ozil and bring such rubbish like willock? Angekuwa Colombia wangelipiga risasi
Ishu ya Ozil inaniuma sana, hivi anamchukuliaje Ozil huyu muhindi? Yaani kwake Willock > Ozil.Na Leo tena Ozil
Wavimba macho tulieni basi, shindeni mechi zenu na sie tuachieni zetuMara ya mwisho mlipokutana na Sheffield PL mligongwa cha nguruwe. Nategemea itakua ivyo leo.
Goodluck Sheffield United![]()




Namchukia huyu Mbwa anaitwa Emery, kwa nini wanalivumilia?
Nan kakwambia ?Nilikwambia Kolasinac ndo LB na kwenu huyo ndo best katika hiyo nafasi.
Niliwaambia humu emery hatufaiLeo lazima tufungwe...Vitoto kama Willock hawatakiwi kuanza. Pambafu Emery.
Kama hujui si uulize ?Nilikwambia Kolasinac ndo LB na kwenu huyo ndo best katika hiyo nafasi.
Gazid ambaye anaiteketeza Acmilan ndio alimleta huyu mpuuziSijui Nani alichukua hii Mbwa kuwa kocha wa timu, is he cheap? Foolish hater of our best players
Mkuu huiamini timu???Kwa kikosi hiki acha niweke akiba ya maneno