Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba ni nina hasira hapa. Maana ndugu Pepe kakosa goli yeye na kipa akaja andazi mwingine badala ya kuscore eti akajidondosha yaani kama vile Tammy na Rashford wameloga forward yote icheze kama wao.

Hizi hasira zinaenda kumaliziwa kichochoroni. Hawa Man U na Chelsea nitakutana nao kesho nikiwa mwepesiiiiiii.
mkuu huyo malaya alitoka salama usiku?
 
Conte alichukua kombe msimu wa kwanza, Emery msimu wa kwanza HOLAAAA

Sari alichukua kombe msimu wa kwanza, emery msimu wa 2 HOLAAAA

Lampard atachukua kombe msimu wa kwanza, Emery msimu wa 3 itakiwa HOLAAA

Hii Arsenal muuzieni ABROMOVICH iwe Chelsea B
hata hawana hadhi ya kuwa Chelsea B hawa, hawana hiyo hadhi
 
Mashabiki wa arsenane naona wamesusia uzi wao, njooni mtetee litimu lenu libovu
 
asenali lazima mshuke daraja msimu huu mkaungane na kina Wigan huko, championship ndio hadhi yenu
 
Surprisingly there are fools here who are still supporting Emery
Nimemsapoti sana Emery, nimepingana na watu mtandaoni mpaka kijiwe nongwa. Msimu uliopita alikua na kila sababu ya kuganya tucheze vile tulivyocheza.
Msimu huu, karibia tuna kila mchezaji bora kwa kila nafasi ndani ya uwanja. Badala yake anapanga kikosi ambacho hata kupeleka mashambulizi mbele hakiwezi.

Mimi sitatetea tena, ngoja nione.
 
Back
Top Bottom