Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I've come to conclude that Everton are yet ready to score!
I think Fabiansky atapaswa kuwa a man of the match
Another save by Fabiansky!
Kweli kabisa hata kwangu ni man of the match.

Aiseee siku ya newcastle angekuwa atika kiwango hiki gap ya chelsea ingekuwa imepunguzwa. Ila leo Fibianski kaonyesha Almunia ana kazi tena ya Nyanda chaguo la kwanza .
 
Points tatu kibindoni....Everton wamejitaidi, naona possesion yao si mbaya, wajaribu round ya pili. Shukrani za pekee ziwaendee wenzetu genekai, AW, na Mtazamaji.......sasa tunawakaribisha Tottenham Hotspur tarehe 20, jumamosi......
 
Hongeren wapinzan.....damn evertons!

asante mkuu.naona tunajitahidi sana away games mwaka huu kushinda emirates. na nyie mnachechemea mjafungwa mechi yoyote lakini mnatoa draw kama hamna akili vizurilol.

msimu huu kiboko.wale man city nao kocha wao hajiamini,mchezo wake wa kucheza defensive unamponza sana.
 
Machini bado anaota yuko Italy. atashtuka anapigwa chini.

Hivi jamani Varmeleen anasumbuliwa na nini ?

Nasikia Bendenter(( Jina lake linanisumbua) anatishia anaweza kuondoka maana mbele ya chamakah na V. parsie anaona hapewi priority.
 
bendtner ngoma yake ngumu mbele ya chamakh,chamakh sio mbahatishaji akipata nafasi anafunga huyu ben yeye mbahatishaji na akumbuke katoka injury.huwezi kumpiga bench mtu ambae yuko kwenye form.
 
bendtner ngoma yake ngumu mbele ya chamakh,chamakh sio mbahatishaji akipata nafasi anafunga huyu ben yeye mbahatishaji na akumbuke katoka injury.huwezi kumpiga bench mtu ambae yuko kwenye form.

true that! wakati anaanza sasa huyu dogo nilikuwa namuona kama model tu pale mbele! ila sasa naamini kocha wetu aliona mbali
 
Nasikia Bendenter(( Jina lake linanisumbua) anatishia anaweza kuondoka maana mbele ya chamakah na V. parsie anaona hapewi priority.

Yaani me Bendtner huwa simuoni kama mchezaji wetu, akifunga huwa naona kama wamejifunga. Dogo mzembe dunia nzima, nadhani safari yake ndo imetimia, najitolea kumbebea begi bure aende aendako!
 
Hamjafungwa bado jaman?

Usiwe na shaka ipo replay hivi sasa ni dakika ya hamsini tu Fab kaweka chuma cha pili kwa mbali hivi mpira haujaisha. Lazima watarudisha tu usijali .... ....
 
Lazima nikualike mwisho wa msimu katika sherehe za ushindi wa double Champions league na EPL 2010/11 tukiwa pamoja na Richard,Wacha1, BAK, Wenger na Mbu, na tutafanya get together ya nguvu kwa washika bunduki kule nyumbani (bongo) tukiwa pamoja na Ba Mkubwa, Kibs, Genekai, Companero, Balatanda, Ngwaza Madaso, Katavi, GT,Radical etc na tutawaalika akina nyinyi Belo, MTM, El nino, Masa, AbTitchaz,Peasant ,Manda, Genius, Shedafa, Invi, Gutierez, Abdulhalim, BJ, Eqylipz, Mvina, Rev Kishoka , Sanda matuta na wapenda soka wote.

Unawaliza mafioso khe khe kheeeeeeeee

Ruta kesho ni Everton 1- sisi 3, haina ubishi.

Utabiri huu ungetimia lakini Nasri leo bahati haikuwa yake alikwenda na move ambayo ingekuwa ya musimu huu so far .... ...

Jamaa alisema ata-parade title kwene mechi na Spurs..kwi kwi kwi..

Vipi hupendi?
Yeah mkuu we are not only leading but also winning!

Wacha wajionee wenyewe .... .... donge liko kooni mwao ....

Mi-Everton inajua'ga' kucheza jihadi wakicheza na manure tu, fungeni hao hata bao sita ka za msimu jana.

Ushaniki naona umekushinda ... ..... ...

Hongeren wapinzan.....damn evertons!

Shukran

mkuu Manda tunashukuru, sisi tumepata 3points, MU wamepata 1.....Sunderland timu funga hao Chelesea kagoli kamoja waanza kuweweseka

Safi sana waliofikiria chandimu wako wapi?
 
Sunderland hawana adabu, yaani wamemtwanga chelsea magoli matatu, duuuh nimeipenda hiyo WAJAMENIIII.
 
Hongereni waungwana, alafu hawa everton uwa wakicheza na Man Utd wanacheza kama maisha yao yanategemea hiyo mechi wakicheza ni timu nyingine mdebwedo.

Naona mwaka huu mkipanga karata zenu vizuri mnaweza kuchukua ubingwa.
 
Kweli kabisa hata kwangu ni man of the match.

Aiseee siku ya newcastle angekuwa atika kiwango hiki gap ya chelsea ingekuwa imepunguzwa. Ila leo Fibianski kaonyesha Almunia ana kazi tena ya Nyanda chaguo la kwanza .

...na ('Alieumia') asipoangalia, yule kipa mpolish mwenye jina kama tusi la kiswahili Sczesny, naye atampiku kwenye pecking order!

asante mkuu.naona tunajitahidi sana away games mwaka huu kushinda emirates. na nyie mnachechemea mjafungwa mechi yoyote lakini mnatoa draw kama hamna akili vizuri lol.

msimu huu kiboko.wale man city nao kocha wao hajiamini,mchezo wake wa kucheza defensive unamponza sana.

ha ha ha! umewaona eeeh? ha ha ha haaaa...!:thumb:
 
Hongereni waungwana, alafu hawa everton uwa wakicheza na Man Utd wanacheza kama maisha yao yanategemea hiyo mechi wakicheza ni timu nyingine mdebwedo.

Naona mwaka huu mkipanga karata zenu vizuri mnaweza kuchukua ubingwa.
Kweli mwaka huu wapo sawa,ila nao tatizo lao moja mechi ya kushinda wanaharibu,ya kupoteza wanashinda,sikutegemea kama wangeweza kumtuliza everton goodson park jana,ila kipa nampa pongezi zote Fabianski la sivyo wangelala jana Arsenal.
 
Hongereni waungwana, alafu hawa everton uwa wakicheza na Man Utd wanacheza kama maisha yao yanategemea hiyo mechi wakicheza ni timu nyingine mdebwedo.

Naona mwaka huu mkipanga karata zenu vizuri mnaweza kuchukua ubingwa.
Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Back
Top Bottom