Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Babu si unaona sie tunavyowasusia chelsea ubingwa, chelsea nao wanawasusia arsenal lol....ila huu msimu utakuwa mrefu na wenye twist and turns nyingi sana.Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Babu si unaona sie tunavyowasusia chelsea ubingwa, chelsea nao wanawasusia arsenal lol....ila huu msimu utakuwa mrefu na wenye twist and turns nyingi sana.Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Huyu dogo mi pia simfagilii, kabla hajafunga goli lazima akose kwanza manne ya wazi.Yaani me Bendtner huwa simuoni kama mchezaji wetu, akifunga huwa naona kama wamejifunga. Dogo mzembe dunia nzima, nadhani safari yake ndo imetimia, najitolea kumbebea begi bure aende aendako!
Mkuu kuna timu ambazo Man Utd miaka nenda rudi wanapata shida nazo Everton ni moja wapo bila kuwasahau West Ham na miaka hiyo Middlesbrough. Heheh usisahau hao wachezaji wazee wa Man Utd uwa wanawaweka mfukoni vijana wa Arsenal.Siyo mdebwedo mkuu, ni namna tu ya kuwabana wasifurukute. Tatizo la man u ni umri mkubwa wa wachezaji unaowafanya wasiwe flexible!
Mkuu umenichekesha sana, ila timu zote zina wachezaji wa design hiyo wanamiss sitters kibao kabla ya kufunga.Huyu dogo mi pia simfagilii, kabla hajafunga goli lazima akose kwanza manne ya wazi.
Tunakuja kwenu tarehe 13/12/2010 tuone matokeo, nitaomba uyarudie hayo maneno baada ya dk tisini za mchezo au tisini na nne za saa ya refa!Mkuu kuna timu ambazo Man Utd miaka nenda rudi wanapata shida nazo Everton ni moja wapo bila kuwasahau West Ham na miaka hiyo Middlesbrough. Heheh usisahau hao wachezaji wazee wa Man Utd uwa wanawaweka mfukoni vijana wa Arsenal
Kinachinishangaza kila mechi ya man u ni hii ya kuongezewa dk.Tunakuja kwenu tarehe 13/12/2010 tuone matokeo, nitaomba uyarudie hayo maneno baada ya dk tisini za mchezo au tisini na nne za saa ya refa!
Maneno kama haya niliambiwa na jamaa mmoja anakwenda kwa jina la Mbu msimu uliopita.Tunakuja kwenu tarehe 13/12/2010 tuone matokeo, nitaomba uyarudie hayo maneno baada ya dk tisini za mchezo au tisini na nne za saa ya refa!
Sunderland hawana adabu, yaani wamemtwanga chelsea magoli matatu, duuuh nimeipenda hiyo WAJAMENIIII.
hahahaaaaaaaaaaaa Arsenal 2ko juu we unafananisha Chelsea na sisi????EPL wamechukua mara 4 tu tangu kuanzishwa jamaa bora ungeniambia hata Aston Villa au Leeds Utd nakushangaeni sana
Na warusha mishale wa spurs ni kama hawaArsenal (from):Fabianski, Almunia, Szczesny, Sagna, Clichy, Djourou, Squillaci, Koscielny, Eboue, Fabregas, Wilshere, Nasri, Song, Diaby, Denilson, Rosicky, Walcott, Arshavin, van Persie, Chamakh, Bendtner, Gibbs
Nimeipenda hii comment ya mtangazajiTottenham (from): Gomes, Cudicini, Pletikosa, Hutton, Corluka, Assou-Ekotto, Kaboul, Bassong, Gallas, Jenas, Palacios, Modric, Bale, Bentley, van der Vaart, Sandro, Kranjcar, Crouch, Pavlychenko, Defoe
Tottenham have not kept a clean sheet since the opening day of the season and have not had a shut-out at Arsenal since 1998.
Naanza kuhesabu, cha kwanza hicho Nasri from an impossible angle!
Dah, SPurs kwishney 2-0
had it been Impossible he wouldnt score may be it was Tightest of Angles......Hahahahaaaaa...... Gun 4 life