</p>Lazima nikualike mwisho wa msimu katika sherehe za ushindi wa double Champions league na EPL 2010/11 tukiwa pamoja na Richard,Wacha1, BAK, Wenger na Mbu, na tutafanya get together ya nguvu kwa washika bunduki kule nyumbani (bongo) tukiwa pamoja na Ba Mkubwa, Kibs, Genekai, Companero, Balatanda, Ngwaza Madaso, Katavi, GT,Radical etc na tutawaalika akina nyinyi Belo, MTM, El nino, Masa, AbTitchaz,Peasant ,Manda, Genius, Shedafa, Invi, Gutierez, Abdulhalim, BJ, Eqylipz, Mvina, Rev Kishoka , Sanda matuta na wapenda soka wote.
Hapa sasa ndo nimekuelewa!......nanyatiaaaa!
Hapa sasa ndo nimekuelewa!
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool Fabregas cha pili.
Squillaci kapingwa njano!
Nilikuwa najaribu kukujibu kwa ile post yako ya ball 2 hand ya song in vain kumbe ulikuwa unaifuta? Hahahaaaaaa!Squillaci was lucky not to see a red card, he was the last man.
wakuuu tupo pamojaaa.
Yeah mkuu we are not only leading but also winning!
umefaidi sana mkuu,pombe zmenichelewesha kuamka lool.nastuka naona tayari tunaongoza 2 bila .
Kamoja bwana wamepata!Hamjafungwa bado jaman?