Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

What happened with chamackh on tht chance???? was it off side????
 
Hawa jamaa wanatakiwa wamlete palacios la sivyo a space wanayompa fabregas inaweza kuwa sababishia mdhara mengine.kipindi cha pili

Akiingia na crouch mapigo ya moyo huwa yanapanda kwa ile mipira ya juu
 
Tuko pamoja wakuu, next goal is gonna be important, if we score then this game is well and truly over, if they score tumbo joto, nikikumbuka ile mechi iliisha Arsenal 4 - Spurs 4 inaninyima raha. Naona defoe anaingia, huyu dogo mkorofi sana.
 
Boys must be uptight with this Game......this early goal will cost us..........
 
Sisi ndio Arsenal a.k.a Wahapahapa...........hahaaaaaaaaaaaaaa.....Go Arsenal go.....Inabidi tuongeze mawili kipindi hiki cha pili
 
Tunashinda game hii wakuu.....Shaka ondoeni,tunaongeza la 3 soon...Hilo goli la Spurs lisiwachanganye bana....Wetu hawa
 
Sisi ndio Arsenal a.k.a Wahapahapa...........hahaaaaaaaaaaaaaa.....Go Arsenal go.....Inabidi tuongeze mawili kipindi hiki cha pili
Mkuu utabiri wako uwe wa kweli mabao 2 mmhhh!!! Mimi tukiwaongeza bao 1 tu nitaridhika
 
Back
Top Bottom