Huwa mnafungwa hapo EmiratesPoints 3 in, next tena tupo ugenini.....
Welcome back tuliku-miss sana mkuu, btw last time ulikuwa bize kwenye kampeni vipi mulifanikiwa ama ndio mulichakachuliwa?:doh:
mna kazi na Everton goodson park j2,kina arteta,pienear,cahill na saha kama ataanza au baines,yakubu,fellaini kala red jana,na huyu beckford ndie aliwaua man utd msimu ulipita ktk FA Cup pale trafford alikuwa leeds utd.Points 3 in, next tena tupo ugenini.....
Hapo kwenye nyekundu ndio umekosea, Arsenal Football Club tuna historia na tumeshinda trophies nyingi zaidi ya Chelski, ukisema miaka 6 bila trophy sawa lakini Trophyless? hatukubaliani nawe kamwe.![]()
Loser Audley "king of talk" Harrison supports fellow losers, Arsenil "mwaka huu wetu" Trophyless Club....ROTFL
Hapo kwenye nyekundu ndio umekosea, Arsenal Football Club tuna historia na tumeshinda trophies nyingi zaidi ya Chelski, ukisema miaka 6 bila trophy sawa lakini Trophyless? hatukubaliani nawe kamwe.
Mkuu Jubest bado sijaona ndani (kuwacho) umemaanisha nini?hongera kwa kuwacho
I meant for 6 years.
Ruta kesho ni Everton 1- sisi 3, haina ubishi.Tabiri kesho mambo yatakuwaje?
Lazima nikualike mwisho wa msimu katika sherehe za ushindi wa double Champions league na EPL 2010/11 tukiwa pamoja na Richard,Wacha1, BAK, Wenger na Mbu, na tutafanya get together ya nguvu kwa washika bunduki kule nyumbani (bongo) tukiwa pamoja na Ba Mkubwa, Kibs, Genekai, Companero, Balatanda, Ngwaza Madaso, Katavi, GT,Radical etc na tutawaalika akina nyinyi Belo, MTM, El nino, Masa, AbTitchaz,Peasant ,Manda, Genius, Shedafa, Invi, Gutierez, Abdulhalim, BJ, Eqylipz, Mvina, Rev Kishoka , Sanda matuta na wapenda soka wote.
Jamaa alisema ata-parade title kwene mechi na Spurs..kwi kwi kwi..hahahaaha! Your beloved son Audley Harrison has just been abused in front of the whole world. Not classic boxing match but job done for Hayemaker.
Lazima nikualike mwisho wa msimu katika sherehe za ushindi wa double Champions league na EPL 2010/11 tukiwa pamoja na Richard,Wacha1, BAK, Wenger na Mbu, na tutafanya get together ya nguvu kwa washika bunduki kule nyumbani (bongo) tukiwa pamoja na Ba Mkubwa, Kibs, Genekai, Companero, Balatanda, Ngwaza Madaso, Katavi, GT,Radical etc na tutawaalika akina nyinyi Belo, MTM, El nino, Masa, AbTitchaz,Peasant ,Manda, Genius, Shedafa, Invi, Gutierez, Abdulhalim, BJ, Eqylipz, Mvina, Rev Kishoka , Sanda matuta na wapenda soka wote.
Everton: Howard, Neville, Distin, Jagielka, Baines, Coleman, Cahill, Heitinga, Pienaar, Arteta, Saha, Hibbert, Bilyaletdinov, Rodwell, Beckford, Yakubu, Gueye, Silva, Baxter, Duffy, Mucha.
Arsenal: Fabianski, Clichy, Squillaci, Djourou, Sagna, Arshavin, Fabregas, Song, Wilshere, Rosicky, Chamakh, Szczesny, van Persie, Eboue, Walcott, Nasri, Denilson, Bendtner, Gibbs.
Gibbs naye karudi kwenye kundi. Kimsingi we have everybody in the pitch muhimu ni kuomba madogo wasipake rangi na wanja. Tukishinda leo Man U itabidi aanze kufukuzana na kina Man C sisi tutakuwa tunawatafuta ze bluz nao wakidundwa leo nitajaribu kunywa mvinyo kijipongeza ingawa kileo kishanigomea!Arsenal won this fixture 6-1 last season