Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

heshima zenu wakuu genekai na Arsene Wenger......twawashukuru kwa updates....tupo pamoja wakuu
 
leo kiliumana aisee kwa the gunners....poleni sana
 
Mhh..mmedungwa tena na leo kwene backyard yenu? poleni..wekezeni kwene kikombe saizi yenu cha Carling Cup.
 
Arsenal leo imechemsha sana ukizingatia kwamba walitakiwa waongeze points kuifikia Chelsea. Fabiansi kama kawaida akajisahau tena na kutoka golini na Joe Burton alijua kwamba ili waifunge Arsenal ilibidi watumie mipira ya "cross".

article-1327448-0BF3C913000005DC-465_634x424.jpg

Fabianski akifanya moja ya makosa yake ambayo yanagharimu sana points.

andy_carroll_1755662c.jpg

Andy Carrol ni hatari, hapa akishangilia goli.

Anyway, majirani zetu nao wamepoteza point tatu na sio mbaya.
 
Walianza Albion na sasa Magpies, hizi timu zote ndio zimepanda tena daraja msimu huu zinatunyanyasa nyumbani?
Na nikikumbuka misimu ya nyuma akina Hull City nao walikuja Emirates na kuondoka na ushindi, hakuna heshima tena , sio intimidated ground kama ilivokuwa Highbury, Westham nao chupuchupu wajiondokee na pointi!!
Wenger na arudie formula ile ya zamani ambayo ilitupatia mafanikio,na turudie kusajili Wanaume, hivi vitoto havitoshinda kombe (labda Carling) tunahitaji wapiganaji kama walivokuwa The Invincible,akina Gilberto, Pires, Vieira, Ljunberg, Campbell, Parlour,Keown wote ni wapiganaji ambao kama ni urembo wanaweza na ukitaka vita poa vilevile, nakumbuka ile mechi Old Trafford Van Nistelrooy v Keown, Vieira v Keane, aah masikini timu yetu, eti akina Andy Caroll, Tiote na Ameobi wanakuja Emirates na kuweka authority?
 
Leo pale uwanjani aliekuwa yupo chini ya miaka 21 ni Jack Wilshere na wengine waliobakia ni "above" 21. Mzee Wenger angepanga watu ambao wangekuwa ni wale waliomaliza yaani Arshavin na Van Persie lakini akajaza midfield na matokeo yake yakawa ni congestion pale katikati kwani Newcastle walikuja na mpango wa kucheza "10 men behind the ball".

Kwahio ukiondoa hilo goli lao leo matokeo yalianza kuonekana kwenda kwenye sare. Arshavin ana uwezo wa kufungua ngome na Van Persie ana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa mashambulizi lakini leo waliingia muda umekwisha.

Bado tuna mechi mbili za ugenini dhidi ya Wolves na Everton na baadae tutakuwa nyumbani kuwakaribisha watani wetu Tottenham na "Bale Force" wao.

Bado tunaamini kufikia Xmas kuna mambo mazuri.
 
To be honest, Emirates is one of the beautiful stadiums I have been into, but I like the idea of it never being a fortress.
 
Hehehe wikendi hii London kimyaaaaa.....Poleni sana watani.
 
Leo pale uwanjani aliekuwa yupo chini ya miaka 21 ni Jack Wilshere na wengine waliobakia ni "above" 21. Mzee Wenger angepanga watu ambao wangekuwa ni wale waliomaliza yaani Arshavin na Van Persie lakini akajaza midfield na matokeo yake yakawa ni congestion pale katikati kwani Newcastle walikuja na mpango wa kucheza "10 men behind the ball".

Kwahio ukiondoa hilo goli lao leo matokeo yalianza kuonekana kwenda kwenye sare. Arshavin ana uwezo wa kufungua ngome na Van Persie ana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa mashambulizi lakini leo waliingia muda umekwisha.

Bado tuna mechi mbili za ugenini dhidi ya Wolves na Everton na baadae tutakuwa nyumbani kuwakaribisha watani wetu Tottenham na "Bale Force" wao.

Bado tunaamini kufikia Xmas kuna mambo mazuri.
Sawa Richard lakini tunahitaji kupunguza hizi excuses kwamba timu zinakuja Emirates kudifendi, 10 men behind the ball nk, kwa sababu the West Broms of this world wanatumia the same tactics wanapokwenda Stamford Bridge ama Old Trafford, iwapo tumeshajua timu pinzani itakuja na tactic fulani kwa nini Wenger ashindwe kuwaandaa vijana na tactic ya kuishinda hio 10 men behind the ball ?
Ninapotumia hii term "Vitoto" ninamaanisha maumbo yao na uchezaji na sio umri wao, kila wanapokutana na timu inayotumia ubavu kidogo tu basi game plan yetu inakufa.
 
Mkuu inabidi tukubali kuwa EPL imebadirika siku hizi timu ndogo zina confidence ya ajabu, jamaa siku hizi wanakuja places like Emirates, Old Trafford na uhakika wa either draw au ushindi timu nothing else.
 
Sawa Richard lakini tunahitaji kupunguza hizi excuses kwamba timu zinakuja Emirates kudifendi, 10 men behind the ball nk, kwa sababu the West Broms of this world wanatumia the same tactics wanapokwenda Stamford Bridge ama Old Trafford, iwapo tumeshajua timu pinzani itakuja na tactic fulani kwa nini Wenger ashindwe kuwaandaa vijana na tactic ya kuishinda hio 10 men behind the ball ?
Ninapotumia hii term "Vitoto" ninamaanisha maumbo yao na uchezaji na sio umri wao, kila wanapokutana na timu inayotumia ubavu kidogo tu basi game plan yetu inakufa.

Sawa mkuu lakini Arsenal wakibanwa huwa hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom