Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 304
Ahsante Genekai endelea kutupa update, wengine hatuoni hii mechi live, tunaangalia kinachojiri Eastland, Citeh v YenitedWhat a save fabi!
Ahsante Genekai endelea kutupa update, wengine hatuoni hii mechi live, tunaangalia kinachojiri Eastland, Citeh v YenitedWhat a save fabi!
Poa mwana niko nawe!Ahsante Genekai endelea kutupa update, wengine hatuoni hii mechi live, tunaangalia kinachojiri Eastland, Citeh v Yenited
mda umefika sasa Walcott aingie naona kuna nafasi kubwa tu ya kuwakimbiza winger kule.
rosicky atoke sasa aje walcott mda unakwenda goli moja halitoshi.
Wenger akileta utani draw hii.
Afadhali ata iyo sare, wasiwasi wangu tusiishie kulala 2-1Wenger akileta utani draw hii.
huyu chamakh pasi zake movu za kusakizia wenzake tu .