Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 132
"jogo bonito" = beautiful game.
Asante sana kwa elimu hii...........
"jogo bonito" = beautiful game.
Hata mimi ndio naelimika leo,nimewahi kusikia hii term ila nilikuwa sijui maana yake , Kilatino hakipandi ila naelewa neno bonita/bonito lina maanisha beautiful tokea enzi zile nimesikia nyimbo ya Maddona "La isla Bonita" = Beatiful Island.
1-1 hapa jamaa wamerudi .
Naona hata hasangilii...tuwe makini na mabeki wetu, vinginevyo wasijetufanya kama tulivyowafanya........Dogo Eduardo kafunga own goal!
Naona hata hasangilii...tuwe makini na mabeki wetu, vinginevyo wasijetufanya kama tulivyowafanya........
hakuna kubwanwa mkuu beki mbovu mno sasa tuko down 2-1.mtu anapoteza mpira kizembe.
Hilo Goli la pili la G clichy sijui alitaka kufanya mbwembwe gani.
82 min
The Arsenal substitutes are cowering in the dugout, and you realise it's seriously cold out there. That's not a little light evening mist, that's freezing fog.