Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Nimepewa hii habari ... ...
Kwa hiyo wajamaa wa eastland waliowabamiza mafioso team leo wameonyeshwa kazi kutoka Emirates nasikia Romano o Bromovich amevunja TV khe khe khe teh teh ... timu ya mamillionare wametolewa kamasi.
Man City 0 - 3 Arsenal
"In Mendoza drinking wine & watching the game. Argentinean commentary is hilarious... The commentator is singing "el gol, por el Arsenal, el gol, por el Arsenal" during the replay. Almost as good as his "o-o-ooooh, o-o-ooooh" for the first."