Wakuu nini utabiri wa leo kwenye mechi yetu ya nyumbani Emirates?
Kwa kufananisha ki-uwezo (on paper) kila mtu anategemea tutashinda kwa idadi nyingi ya magoli, lakini mimi ninatia wasiwasi kidogo, kwa vile hii ni derby game na W/ham watakuja na staili ya "route 1 football" (4-5-1) formation.
Watapaki basi kule nyuma (defending deep) kuweka msongamano pale kati (5 midfield) na kutegemea mashambulizi ya (counter-attack) kwenye kila nafasi ni long ball kwa (lone striker) Carlton Cole
Hizi timu ndogondogo zinajua kwamba ukicheza staili hii inakuwa vigumu na ni njia pekee ya kuwa-frustrate Arsenal, kwani sistimu yetu ni pasi-pasi hadi goli.(Nobody try long range SHOT!!!:A S angry🙂
Lakini pia inatia moyo kwamba Cesc atacheza, ni yeye peke yake mwenye uwezo wa kuifungua difensi kwa kuweka pasi za usahihi behind the defenders. Utabiri wangu ni tutashinda (3-1) half-time (1-1) magoli 2 tutapata kwenye dakika 20 za mwisho baada ya kuchoka kwa W/ham defenders.
Ningependa timu ya leo iwe:
Fabianski
Sagna, Squillaci, Koscielny, Clichy
Song, Cesc, Denilson
Walcott, Chamakh, Nasri.