Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Wenger ameamua kuditch policy ya kupanga watoto....!! Hii mechi yenu nimekosa dakika 60 za mwanzo.
Amestuka kwamba wapenzi wameshakuwa tafrani, pamoja na kwamba ameleta stability kimapato lakini Miaka 5 bila trophy ni mingi sana kwa kilabu kama hiki chetu. Tuna imani msimu huu tutapata walau trophies 2, ni kama kusubiri basi muda mrefu kituoni mara nyingi zinatokea bus 2 ama 3 kwa mpigo.:smile:
 
Fabianski, Sagna, Koscielny, Squillaci, Clichy, Song, Fabregas, Denilson, Arshavin, Nasri, Chamakh............
Subs: Rosicky, Vela, Walcott, Djourou, Eboue, Bendtner, Szczesny
 
Tuko pamoja wakuu kama kawaida kila la kheri,naona nafasi mbili tatu zimetokea sema kama kawaida yetu tunataka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu.
 
huko jukwaa la Arsenal sio Chelsea mkuu.

Atakuwa amekosea....mkuu, hii mechi ya leo kipindi cha kwanza hawa West wamegoma kuachia kabisa....Hivi kiwango cha Arshiv.. kimeshuka au ni nini? naona vijimakosa vipo, au atatoka aingie Rosc....
 
AW, Ba Mkubwa et al, tuko pamoja, tuwe na subira tu, tutashinda hii mechi, kwa maana hawa mabeki wa W/ham wakianza kuchoka na concentration yao itapungua, naona Arshavin na atolewe ili aingie Walcoltt
 
Huyu Wenger vp tena? mbona amemtoa Denilson badala ya Arshavin?
 
songggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
hatimae nitapumua sasa, ilikuwa veeery frustrating!
 
hatimae nitapumua sasa, ilikuwa veeery frustrating!

Sana tu mkuu,nafurahi sana kuona Song siku hizi anabeba majukumu ya ku-attack baada kuona mbele wanatuangusha.


Point 3 muhimu sana hizi.hongereni sana gooners wenzangu.
 
Point tatu..next Shakhtar Donetsk on 3.11.2010.........BTW Carling cup tunakutana na Wigan
 
Back
Top Bottom