Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Arshavina anakosa goli jengine
eti goli la magumashi.
timu famba lakini imefika champions league.
Ingekuwa inacheza na timu nyengine, ingeshakula goli kama 3 mpaka usawa huu.
Ni mchezo tu mazee punguzeni munkari.mkuu kashangilie timu yako ac milan inacheza lool.
Hawa madogo sijui vipi?