Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Saa nyingine huwa nahisi kama uwezo wa Wenger ushakuwa obsolete. Labda ndo maana tunaumia!
Mkuu unasahau kwamba pale nyuma Varmelan hayupo hivyo mkorogo kidogo vurugika inshallah Jumapili atakuwa darajani kuondoa unoko wowote utakaojitokeza.
Duh, mbona kuna uhaba wa picha humu? Lakini kule Stamford Bridge mijitu ya kusafisha mizinga kila siku kuja jaza mipicha:becky:
Taliban Supporter aka Mungiki brother's huwa anakuwa Invisible hasa wakati Peasant's wanakuwa kwenye shughuli ya kilimo ingawa wanakacha vile vile chacha njomba inabidi tuziweke ili ushahidi uwepo maana mafioso team aka Chelsick kwa ubishi hawakawii. Just a matter of records.