Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ngoja kubeba kwanza Europa ,maana mshaanza kelele
kwa timu gani ubebe europa ,,,, labda utabeba bendera ya europa lakn sio kombe nashari muungane na liverfool maana wote mnatoka patupu
 
Ngoja kubeba kwanza Europa ,maana mshaanza kelele
kwa timu gani ubebe europa ,,,, labda utabeba bendera ya europa lakn sio kombe nashari muungane na liverfool maana wote mnatoka patupu
 
#AFC | So that's now three players confirmed leaving.

• Cech
• Ramsey
• Welbeck
 
Big cheer for Aaron Ramsey. Reduces him to tears. https://t.co/1b2xP4Kp71
IMG_20190505_213203.jpeg
IMG_20190505_213200.jpeg
 
Very sad

Unakuja kila siku Hivi hiv, baadae unapotea jumla,

Kwa akili yako unadhan namba 6 itawatoroka
Kitu Arsenane wanajifanya hawajui ni kwamba mechi yao ya mwisho na Barnley wanatakiwa kumfunga goli tisa (9) na Spurs asishinde ili acheze UCL.
 
Kitu Arsenane wanajifanya hawajui ni kwamba mechi yao ya mwisho na Barnley wanatakiwa kumfunga goli tisa (9) na Spurs asishinde ili acheze UCL.
Aliyekwambia arsenal anategemea hiyo option nan

Endelea kujifariji

Futuhi utaenda peke yako
 
Hongereni...mwaka wa 10 bila kugusa UCL
Nilikwambia namba 6 huchomoki ,ukabisha

Mmekuja kujifariji nimfunge Burney ,sijui spurz afungwe,

Wakati nguvu tunahamishia Europa ,

Futuhi mmekwalifai nyie,

Sisi bado tupo kwenye mapambano
 
Back
Top Bottom