Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bila ww cjui tunaelekea wap
Screenshot_20190506-004412.jpg
 
safari ya chizi huwa ni ndefu lkn akirudi hurudi na makopo
 
Hivi hii nayo ni timu au ni genge la ndondo. Timu ambayo ubingwa wake ni top four....

Yani mnapigwa hovyo mpaka ubingwa wenu mmeukosa
 
Nimeumia sana kuona Liverpool anaenda final hivi sisi tuna shda gani wazee mbona wenzetu kila siku wana furaha sisi huzuni daily?shda nini na hili timu letu ?walah tukipigwa Europa league ntaacha kushabikia mpira rasmi
 
Back
Top Bottom