Chelsea 1 vs Arsenal 4. Baku stadium 29/5/2019Aisee Leo kama hatutashinda basi tena lakini leo uwezekano wa kushinda ni 85%.View attachment 1111185View attachment 1111186View attachment 1111187View attachment 1111188View attachment 1111189
Nadhani atakuwa kutoroka mirembe,sidhani kama atakuwa mzima maana hata njia kapoteaKuja kuwajulia hali maboya...
Bora ule Papuchi aiseeeDuu Arsenal vip tena?
Acha shobo,arsenal kafungwa basi we unawashwa kweli, nyie ndo michicha mwiba.Team ya maboyaaa...![]()
Uliwaza mapemaKufungwa hakuepukiki leo, believe me.
Mbwa KokoKipigo cha yule RPC maarufu
Hawakwepo leoWale viwete wenu wabahatishaji wanaoshangilia goli kwa kushikana mikono hawakucheza
Team mbovuu kuliko kawaidaaAcha shobo,arsenal kafungwa basi we unawashwa kweli, nyie ndo michicha mwiba.



Endeleeni kushabikia timu isiyojielewaa...!!Nadhani atakuwa kutoroka mirembe,sidhani kama atakuwa mzima maana hata njia kapotea
Siyo kazi yako kupangia laifu staili wengine ilhali we mwenyewe yako yamekushindaEndeleeni kushabikia timu isiyojielewaa...!!
Wewe cheltako mbona una mdomo sana ,ngoja nione hata fainal kama utafika nikugonge zakutosha

Chance kubwaPole ya nini mkuu ikiwa tuna chance kubwa ya kubeba Europa?



Mkuu jumatano haijafika tu.OK tusubiri jjtano , tuache porojo ,
BAKU mlienda na miguu nini






Kwa Umtiti tunamchukua auKaribu mzee,
Naona ndio kipindi chako hiki cha kushusha nondo za usajiri,tetesi na breaking news kama zote....
Uwanja ni wako