OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahahahaha nani alikuotesha iyo ndoto mkuuKuna ndoto inanijia kuwa mechi yetu na Chelsea kesho kutwa itaisha kwa bao mbili kwa moja.
Arsenal tutashinda mechi hii.




Ni kweli hakuna namna aiseHata akiwepo lazima wapigwe tu hakuna namna



Hahahahahaha bado Spurs London London London London LondonPunda afe mzigo ufike Aise Chelsea asishinde leo tuko pamoja hapa





Hugo mwandishi yuko sawa kabisaaaMuandishi huyu wala hajakosea kwa maana ndani ya fainali kumi ambazo arsenal amekutana na Chelsea zote Arsenal alishinda. Soma hiyo.View attachment 1111193
PwaaahahahaaaaaKuna ndoto inanijia kuwa mechi yetu na Chelsea kesho kutwa itaisha kwa bao mbili kwa moja.
Arsenal tutashinda mechi hii.


4-1. Upo.?Hizi ni mind games tu.
Uko uefa mungepeleka viwete akina Lacazzete sijui auba mungetia aibu tuTunyanyue tu hii ndoo wakuu maana hii kucheza europa mimi imeshanichosha, arsenal kama tungemaliza ndani ya top 4 hata kama tungepoteza leo isingeniwazisha,ila tukifungwa leo ni maumivu twice, kukosa ndoo na kukosa Uefa nxt year.
Unazungumzia ndoo gani mkuu.Leo tunanyenyua ndoo
Ulikosea sehemu ndogo sana ..ulipaswa uandike Chelsea 4-1Arsenal ..hahahahaha hata ivyo tunashukuru sana ..Now you reclaimed your status hahahaha who is KING OF LONDON bro??UP GUNNERS....!! LETS GO AND RECLAIM OUR STATUS AS KINGS OF LONDON TONIGHT.
WE'VE BEEN WALKING OVER THESE ARROGANT NEIGHBORS IN THE LAST FIVE FINALS WE MET, SO THE PSYCHOLOGICAL ADVANTAGE IS IN OUR SIDE AND IT'S GONNA PLAY BIG PART TODAY.
ARSENAL 3-1 CHELSEA FT.
ARSENAL IS THE WINNER OF EUROPA LEAGUE 2018/2019.





Eeeh?Sherehe Emirates, msiba darajan
Ikawaje sasa ..tupe matokeoooooJinsi Arsenal itakavyopangwa kuikabili Chelsea.
Katika mechi ambazo Arsenal imeifunga Chelasea chini ya kocha Unai Emery, imetumia mtindo wa 4-4-2 ambao hitwa Diamond.
Ni mtindo ambao washambuliaji Aubameyang na Lacazette wanakuwa mbele na nyuma yao wanasimama Granit Xhaka, Matteo Guendouzi na Lucas Torreira.
Lakini mtindo wa diamond hauwezi kutumika kwa kuwa Aaron Ramsey na Henrikh Mkhitaryan hawapo hivyo kurudi kwenye mtindo wa 3-4-1-2 ambapo Matteo Guendouzi atasimama nyuma ya Mesut Ozil au Alex Iwobi na washambulaji Aubameyang na Lacazette.
Arsenal pia watajaribu kuwabana Chelsea wasitoke ndani ya eneo lao hivyo kumbana Jorginho asitoke pasi nyingi kueleke kwa Hazard au Higuaín.
Lakini wakati huohuo Arsenal itabidi iwe macho na David Luis na mipira yake mirefu ama kueleka kwa Pedro au Cesar Azpilicueta au katikati kwenye nafasi kwa mmoja wa wachezaji wa kiungo khasa Matteo Kovacic au Ross Barkley.
Arsenal pia inaweza kucheza mtindo wa mabeki watatu walinzi wa kati watatu, lakini Ainsley Maitland-Niles sio beki imara bado hivyo kutoa mwanya kwa Eden Hazard kupika mashambulizi upande wa kulia wa Arsenal kati ya Niles na Shkodran Mustafi.
![]()
Mchoro unaonyesha Hazard akiwachanganya mabeki namba mbili na nne wa Arsenal kwenye mechi ambayo Arsenal ilifungwa goli 3-2 pale Stamford Bridge.
Hivyo kocha Emery atamuamuru Lucas Torreira ashuke nyuma kumsaidia dogo Maitland -Niles na kufanya kuwepo watu wawili wanaomchunga Hazard asilete madhara.
Chelsea wakiona Hazard amebanwa basi watamtumia Alonso kwenda pembeni zaidi ili kuwachanganya mabeki wa Arsenal na kuleta nafasi kwa Hazard.
Katika mechi hii Aubameyang na Hazard ndo waamuzi wa mchezo kwamba wapi ushindi utaenda.
Timu zote zimepata muda mzuri wa kupumzika na Arsenal ikiwa Baku tangu Jumamosi huku Chelsea ikiwasili siku ya jumatatu.
Chelsea tayari ipo kwenye champions league na inaipa nafasi zaidi Arsenal kucheza kwa ari ya kutaka kushinda kombe hili la Europa ambalo mara ya mwisho kulinyakua ilikuwa ni mwaka 1994.
NB: Tafsiri fupi na Mchoro ni kwa hisani ya gazeti la Telegraph.
Uliona mapema mkuu ..sisi arsenal hatuna bahati ya Europa kabisaArsenal hatuna bahati in EUROPE CHAMPIONSHIPS. Sina matumaini leo. Let's go Gooners



HhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaGoodluck......Wakuu tutakutana baadae kama ni Msiba au Sherehe.
Doooh.. Pole sana mkuu. Uwe unaangalia timu za kudhamini hawa wachovu hamna kitu hapa.Mkifugwa leo nitaliwa laki mbwa nyinyi komaeni
Mnawezaje kuona hii kitu.? Ni karama ujueEuropa league ndio size yetu. Tusidanganyane kushinda leo. Chelsea watalibeba
Aise ulijuaje mkuu. Kunywa daso kwa mangi apo ..nakuja kulipaKufungwa hakuepukiki leo, believe me.