Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
HahahahahahahahahhahahahahahahahahI who is MESSI HahahahahahahahahWewe unapayuka huku,
Man city kashinda huko 1-0
Kesho messi anawaweka TENA
30yrs loading.....
HahahahahahahahahhahahahahahahahahI who is MESSI HahahahahahahahahWewe unapayuka huku,
Man city kashinda huko 1-0
Kesho messi anawaweka TENA
30yrs loading.....
Nimeumia sana kuona Liverpool anaenda final hivi sisi tuna shda gani wazee mbona wenzetu kila siku wana furaha sisi huzuni daily?shda nini na hili timu letu ?walah tukipigwa Europa league ntaacha kushabikia mpira rasmi
Hahaaa.. We jamaa una panic kinoma.Acha umalaya,
Hahaa.. Kuichezea na kuishabikia Arsenal ni kukosa option ya maisha. Karibu kwetu ufurahie maisha mkuu. Hautanung'unika hivi na kujikondea bure.Nimeumia sana kuona Liverpool anaenda final hivi sisi tuna shda gani wazee mbona wenzetu kila siku wana furaha sisi huzuni daily?shda nini na hili timu letu ?walah tukipigwa Europa league ntaacha kushabikia mpira rasmi
Matusi hayafai. Kejeli zinaruhusiwa. Man up bro.arsenalkuma hamjambo bila shaka mwakani pia Europa ndo size yenu
Mkuu hongera huu ni mpira tu, Jana mlistahili na taji mnastahili piaHahahahahahahahahhahahahahahahahahI who is MESSI Hahahahahahahahah
Fainal sis tayari mkuu, hilo usiwaze wewe pambana pia kwa wajerumanSasa kipigo cha Barca ugenini kiwe fundisho kwenu. Lolote linaweza tokea Spain. Nawaambia hivi msilete maneno mengi na ule utoto wenu pigeni mpira tunawataka fainali tuwaonyeshe kabumbu.
Sijapanik ila huyo jamaa hajitambuagiHahaaa.. We jamaa una panic kinoma.
Wewe jamaa unapenda kuja kuzingua ,haya subiri dawa yenu inachemkaHahaa.. Kuichezea na kuishabikia Arsenal ni kukosa option ya maisha. Karibu kwetu ufurahie maisha mkuu. Hautanung'unika hivi na kujikondea bure.
Huyo jamaa Mod walimpiga ban,lkn hasikiiMatusi hayafai. Kejeli zinaruhusiwa. Man up bro.
COYG!!!!
Dah,.........let us make it all English clubs Europa final, kule 'spuds' weshachomoa, angalau The Gunners na sisi tukaupige na Chelski!
Bro BAK bado unapitia mitaa hii au ulishajichokea na "Roller coaster?" Hahaha....
Sijui kina Mentor, Belo, Nzi, et al kama wana exist humu still, au nao ndio weshajizeekea kama mimi.
All the best Arsenal.

Ha ha! Mungu mwema. Nipo ☝🏾COYG!!!!