Wachezaji huru wengi huwa ni ngumu kudelivaUnai emery Leta Umtiti leta Zaha wajekufanya kaz,duh kolasinac hamna kitu.
Huwa namsubiri matokeo yakiwa hivi.
Atarudi Jumamosi kutushangilia.
Unai emery Leta Umtiti leta Zaha wajekufanya kaz,duh kolasinac hamna kitu.
Ozil anahitaji kiungo imara na sisi kumiliki mpira, tusipokuwa na possession,Ozil utamuonea bureKolasinac unamwonea.
Tatizo ni Ozil ambae hakuweza kufanya kazi aliyokuwa akifanya Aaron Ramsey ya kuunganisha mashambulizi na kufuata mpira unapopotezwa kwa adui.
Kolasinac alikuwa kishambulia sana upande wa kulia wa Chelsea ila Aubameyang na Lacazette nao hawakuwa wakitulia pale kwenye eneo la hatari la Chelsea.
Boya naye kaja hapa hapaTeam ya maboyaaa...![]()
Leno game ya leo angefanya kitu zaidi ya Czech,japo kufungwa kwetu Siwezi kumbebesha gunia la misumariUnai naye mshenzi tu. Czech alishaagwa pamoja na Ramsey na tunaambiwa anakwenda Chelsea kuwa mkurugenzi wa michezo. Unamchezesha wa nini????. Hovyo kabisa
Ozil anahitaji kiungo imara na sisi kumiliki mpira, tusipokuwa na possession,Ozil utamuonea bure
Aondoke tuUnai Emery ni kocha mzuri na ana nia njema ya kutaka ushindi kwa Arsenal, ila amerithi timu mbovu timu yenye wachezaji legelege.
Arsenal msimu wa 2017/18 ilifungwa magoli 50 na msimu huu magoli 51 very poor defensive record.
Tunasubiri mwenye timu Stan Kroenke aingize mkono mfukoni atoe fedha za kutosha ili Emery asajili wachezaji anaowataka yeye.
Ozil msimu ujao atakuwa akitokea bench.
Chelsea 1 vs Asernal 4Arsenal anashinda believe me
Stan kroenke si wakumtegemea aisee,ila kama kocha hakuweka masharti wakati anapewa kazi itakula kwetu,maana bila beki strong wawili,holding midfielders 2 tutaendelea kuteseka na vitimu vya kijinga jinga tuUnai Emery ni kocha mzuri na ana nia njema ya kutaka ushindi kwa Arsenal, ila amerithi timu mbovu timu yenye wachezaji legelege.
Arsenal msimu wa 2017/18 ilifungwa magoli 50 na msimu huu magoli 51 very poor defensive record.
Tunasubiri mwenye timu Stan Kroenke aingize mkono mfukoni atoe fedha za kutosha ili Emery asajili wachezaji anaowataka yeye.
Ozil msimu ujao atakuwa akitokea bench.
Uliona mapema aiseeeKufungwa hakuepukiki leo, believe me.
Kuja kuwajulia hali maboya...Boya naye kaja hapa hapa
Chelsea 1 vs Arsenal 4UP GUNNERS....!! LETS GO AND RECLAIM OUR STATUS AS KINGS OF LONDON TONIGHT.
WE'VE BEEN WALKING OVER THESE ARROGANT NEIGHBORS IN THE LAST FIVE FINALS WE MET, SO THE PSYCHOLOGICAL ADVANTAGE IS IN OUR SIDE AND IT'S GONNA PLAY BIG PART TODAY.
ARSENAL 3-1 CHELSEA FT.
ARSENAL IS THE WINNER OF EUROPA LEAGUE 2018/2019.
Aondoke tu