Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hahaaa...hata ww umeshindwa kumvumilia tabia jirani yako Aaron?AROON kile kikaratasi chake cha matokeo anayotembea nayo mfukoni aende nacho msimu ujao.
Ozil hamjui kumtumiaKwa mara ingine tena Mesut Ozil ametuangusha Arsenal na leo hakucheza kabisa mpira.
kocha alikuwa na wachezaji wasiojua makombe wakati Chelsea wana wachezaji wanaojua makombe ila kocha hajui kombe kwakua football inachezwa na wachezaji bora kocha mbaya wachezaji wazuri fainali hawakuangushiKocha wao ni Master wa Europa hahahahahahahahah
kocha alikuwa na wachezaji wasiojua makombe wakati Chelsea wana wachezaji wanaojua makombe ila kocha hajui kombe kwakua football inachezwa na wachezaji bora kocha mbaya wachezaji wazuri fainali hawakuangushi
Ozil hamjui kumtumia
Kwanini ajute? Why asingeweka masharti wakati anapewa kazi? Ngoja tuone atafanya nini dirisha hiliUnai Emery huu ni msimu wake wa kwanza Arsenal na amerithi matatizo makubwa ambayo huenda anajuta kuja Arsenal.
Kwanini ajute? Why asingeweka masharti wakati anapewa kazi? Ngoja tuone atafanya nini dirisha hili
Maybe........ila stan kroenke ni changamotoHe will not walk away na atadai fedha za kutosha kusajili wachezaji wake anaowataka yeye.
Endelea kuota na spurs yako hiyo ndugu.Arsenal tuna gundu Ulaya.. Wiki iliyopita niliota tumefungwa goli 6,ndoto inaweza kutimia. Na wiki itazidi kuwa mbaya Sababu Spurs watawafunga Liverpool 2-1.
Hahaaa...hata ww umeshindwa kumvumilia tabia jirani yako Aaron?